Uhujumu wa tanesco, je wewe unahusika?

Uhujumu wa tanesco, je wewe unahusika?

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
1,382
Reaction score
515
Leo tujihoji wadau, umewahi mara ngapi kulihujumu shirika la Usambazaji umeme Tanzania (TANESCO),
attachment.php
kwa kuleta vishoka nyumbani literally (fundi tanesco) kuibana mita ipunguze mwendo?
attachment.php
Kuweka sumaku (magnet) ili kisahani kipunguze mwendo maana hapa ukiwasha jiko la umeme plate moja tu kisahani kinakwenda over fan.

attachment.php
Hapa advanced kidogo, umeweka utepe wa mkanda wa video kwenye punch card ili sindano ikishuka kutoboa card itulizane umeme wa buku tatu unapigwa kwa miezi mitatu, full AC, BBQ, Water heater kama kawa.

Tujuze wewe umeshatumia style gani kuhakikisha unakwenda sambamba na Tanesco. Karibu
 

Attachments

  • tanesco.jpg
    tanesco.jpg
    6.2 KB · Views: 339
  • tanesco.jpg 2.jpg
    tanesco.jpg 2.jpg
    7 KB · Views: 303
  • tanesco 3.jpg
    tanesco 3.jpg
    6.5 KB · Views: 298
Inauma sana hii. Nilisoma juzi juzi hapa kuwa mapato yameongezeka kutoka shs. billion 57 hadi billion 85 mara baada ya kusimamishwa mkurugenzi. Haijapita wiki tatu tangu hii itokee. Matumizi yote kwa mwezi ni karibu shs. Billion 11. Inamaanisha Tanesco ina-ziada ya shs billion 74. Hizi pesa nyingi kiasi hiki zinakwenda wapi na kwanini itoke ruzuku tena serikalini? Tumeambiwa mafuta ya PUMA yana-save kiasi cha shs billion 6 kwa mwezi na kama yangenunuliwa kwa watu binafsi basi hizi billion 6 zingeishia kwa wachache- ambayo ndio wanatusumbua hapa mjini na magari na majumba ya kifahari kwa wizi tu.

Hivi kama kuna ziada kubwa kiasi hiki, kwanini umeme usiteremshwe bei hata kwa asilimia 60 ili watu waweze kununua umeme na kuacha kutegemea mikaa na pia kuacha kuiba umeme? Suala la kuiba umeme halijaanza siku nyingi, watu wameshindwa kabisa kununua umeme ambao kila siku unapanda bei na umekuwa bei ghali kuliko hata mishahara yao. Wachachwe wanatuibia mamia ya mabillion ya shilingi halafu wengi wanateseka kwa umeme kuwa ghali kuliko maelezo. Kumbe watu wengine wanazima mitambo wengine wanafanya makusudi kuua machine ili waweze kununua mafuta wapate mabillion ya pesa.Watu wanashindwa kununua umeme maana ni ghali mno.

Tumekimbilia kununua gas amabyo mtungi wa kg 15 ulikuwa shs. 23,000 lakini leo ni shs 54,000 maana watu walimbilia kununua gas baada ya umeme kupanda bei kutokana na ufisadi wa viongozi wetu.Vishoka wa Tanesco wameelewa hili ndio maana nao wana kula kwa ujanja wao kwa kuwaunganishia watu umeme au kuchezea Luku maaana umeme haununuliki. Watu wanaiba umeme kutokana na gharama kubwa inayotokana na wizi wa mabillion ya pesa. Umeme uteremshwe bei tuone kama maisha hayatakuwa bora kwa watanzania.

Tunajua hata gas kuna watu wanafaidi ndio maana hakuna mtu anayelalamika. Hii gas inayotoka kusini haiwezi kusaidia bei ya gas kushuka? Jamani hatutaki kutumia kuni na mkaa, umeme na gas ni bei rahisi kama ufisadi utapigwa vita. Tusamehane na tuanze ukurasa mpya, kila mwenye kosa ajirekebishe na kama ulishakula pesa zako- mabillion basi yanakutosha.Anza kuwekeza zitawatosheni na familia zenu. Mungu awabariki sana

 
Inauma sana hii. Nilisoma juzi juzi hapa kuwa mapato yameongezeka kutoka shs. billion 57 hadi billion 85 mara baada ya kusimamishwa mkurugenzi. Haijapita wiki tatu tangu hii itokee. Matumizi yote kwa mwezi ni karibu shs. Billion 11. Inamaanisha Tanesco ina-ziada ya shs billion 74. Hizi pesa nyingi kiasi hiki zinakwenda wapi na kwanini itoke ruzuku tena serikalini? Tumeambiwa mafuta ya PUMA yana-save kiasi cha shs billion 6 kwa mwezi na kama yangenunuliwa kwa watu binafsi basi hizi billion 6 zingeishia kwa wachache- ambayo ndio wanatusumbua hapa mjini na magari na majumba ya kifahari kwa wizi tu. Hivi kama kuna ziada kubwa kiasi hiki, kwanini umeme usiteremshwe bei hata kwa asilimia 60 ili watu waweze kununua umeme na kuacha kutegemea mikaa na pia kuacha kuiba umeme? Suala la kuiba umeme halijaanza siku nyingi, watu wameshindwa kabisa kununua umeme ambao kila siku unapanda bei na umekuwa bei ghali kuliko hata mishahara yao. Wachachwe wanatuibia mamia ya mabillion ya shilingi halafu wengi wanateseka kwa umeme kuwa ghali kuliko maelezo. Kumbe watu wengine wanazima mitambo wengine wanafanya makusudi kuua machine ili waweze kununua mafuta wapate mabillion ya pesa.Watu wanashindwa kununua umeme maana ni ghali mno. Tumekimbilia kununua gas amabyo mtungi wa kg 15 ulikuwa shs. 23,000 lakini leo ni shs 54,000 maana watu walimbilia kununua gas baada ya umeme kupanda bei kutokana na ufisadi wa viongozi wetu.Vishoka wa Tanesco wameelewa hili ndio maana nao wana kula kwa ujanja wao kwa kuwaunganishia watu umeme au kuchezea Luku maaana umeme haununuliki. Watu wanaiba umeme kutokana na gharama kubwa inayotokana na wizi wa mabillion ya pesa. Umeme uteremshwe bei tuone kama maisha hayatakuwa bora kwa watanzania. Tunajua hata gas kuna watu wanafaidi ndio maana hakuna mtu anayelalamika. Hii gas inayotoka kusini haiwezi kusaidia bei ya gas kushuka? Jamani hatutaki kutumia kuni na mkaa, umeme na gas ni bei rahisi kama ufisadi utapigwa vita. Tusamehane na tuanze ukurasa mpya, kila mwenye kosa ajirekebishe na kama ulishakula pesa zako- mabillion basi yanakutosha.Anza kuwekeza zitawatosheni na familia zenu. Mungu awabariki sana

Umeme wa Tanzania ndio ghali kuliko nchi yoyote duniani.
Tsh 700/ kw sawa na 0.46$ USD. Tanzania pekee.
 
Leo tujihoji wadau, umewahi mara ngapi kulihujumu shirika la Usambazaji umeme Tanzania (TANESCO),
attachment.php
kwa kuleta vishoka nyumbani literally (fundi tanesco) kuibana mita ipunguze mwendo?
attachment.php
Kuweka sumaku (magnet) ili kisahani kipunguze mwendo maana hapa ukiwasha jiko la umeme plate moja tu kisahani kinakwenda over fan.

attachment.php
Hapa advanced kidogo, umeweka utepe wa mkanda wa video kwenye punch card ili sindano ikishuka kutoboa card itulizane umeme wa buku tatu unapigwa kwa miezi mitatu, full AC, BBQ, Water heater kama kawa.

Tujuze wewe umeshatumia style gani kuhakikisha unakwenda sambamba na Tanesco. Karibu

[h=3]Picha yetu Jumatatu Hii:Mr and Mrs Rwakatare[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Pichani anaonekana Mchungaji Dr Getrude Rwakatare kulia akiwa na mumewe wakati wa harusi ya mtoto wao wa mwisho Bw Mutta Rwakatare alipokuwa akifunga ndoa siku ya juzi jumamosi tarehe 26.05.2012.Ndoa ilifungwa katika kanisa la Mikocheni na Harusi ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Nafsi inazungumza! Inawezekana ukasema nyama huli, lakini supu yake ukatumia!
 
naona umeshatufundisha njia ya kuiba umeme nlikuwa sijui
kumbe nikiwa na sumaki mambo safi sana alaaaahhh
kama wao wahusika wanaiba kwanini nami nsiibe?
nani anaemfahamu mfanyakazi wa tanesco anelipia umeme?
 
Back
Top Bottom