uhitaji wa ufafanuzi

uhitaji wa ufafanuzi

AHAK

New Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
3
Reaction score
1
habari za humu ndani wana jukwaa.
niko na shida ya kupata scope na general description ya Bachelor degree of technology in Laboratory sciences inayotolewa pale DIT kitaaluma na fursa ya kujiajiri iko vipi.
 
Kujiajiri sio lazima uwe na degree mdogo angu, ni mtaji na ujanja wako tu. Kwa hiyo soma kile ukipendacho
 
Back
Top Bottom