Habarini wanajamvi wa JF.. mimi ni member mpya katika platform hii..
Mimi ni muhitimu wa diploma ya sheria tangu mwaka jana kutokana na hali yakiuchumi sikuweza kuendelea na degree.
Pia mimi ni fundi wa viatu.
Nimekuja kwenu nahitaji mnijuze sehemu wanapo uza shoes shapes (magongo ya kutengenezea viatu) sijui kama jina nimekosea au lah na bei zake zikoje .
Nina mpango wa kufungua workshop (karakana ya kutengeneza viatu)
Asanteni
Nipo arusha
View attachment 834439