Uhitaji wa daktari bingwa wa Ngozi

kokaumba

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
394
174
Wapendwa hospital gani inayotumia bima ya NHIF naweza kupata daktari bingwa wa ngozi, please share uzoefu ikiwa na Wewe ulishawahi kuumwa na ugonjwa wa ngozi na ukapata tiba.
 
Wakuu pia mm tatizo la ngozi linanitesa huu ni mwaka wa kumi ngozi inawasha sana nmetumia madawa ya kutosha bila mafanikio crems za kutosha bila mafanikio nmepima FBP WANANIAMBIA NIPO NEGATIVE KILA KITU WANANIAMBIA NEGATIVE dawa wamenipa ila sijapata msaada naomba msaada wenu wakuu kama unamjua bingwa wa ngozi pamoja na mawasiliano yake utakuwa umenisaidia sana mm npo mbeya kwasasa
 
Back
Top Bottom