Salaam wakuu,
Ama baada ya salaam naomba kama kuna mwenye kujua wapi nitapata taa za nyuma (hasa taa ya kushoto) za gari aina ya Starlet anijuze na bei kama inawezekana.
Taa ni zile za ndizi zinaitwa. Natanguliza shukrani.
Mpwa Habari za siku nyingi Sana!? Hebu fanya hivi, Ukienda Mabibo pale Mahakama ya Ndizi kuna mahali wanachinja magari, uwezekano wa kuipata ni mkubwa au Nenda Tandale au Tabata Dampo utapata used nzuri. Barikiwa