Uhandisi uliotukuka!

Mhh MCHINA huyu au...?
Naamini uhandisi uliotukuka unapatikana uchina na ujapani kwa asilimia kubwa! Wengine wanafuatia tu!!
 
Tufike mara ngapi wanapita ukutani lakini hawaingii bank kuchukua mihela wanakuja kutukaba tu na kutuchezesha mahepe, wanasafiri kwa ungo masafa marefu kula nyama za watu. Hebu muende level nyingine banaaa
 
Hata wao wanatukubali kiana, Ungo hauna GPS lakini haupotei.
 
Hii utaalamu wa photoshop nao una raha zake ati!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…