Utawakuta humu kweli? Wenzio wanachofanya wanabandika matangazo katika maeneo husika, Take trouble andika tangazo lako mtumie mtu ali-print then atoe copy hata mia moja akabandike katika shule za Secondary zilizopo Morogoro, mimi kuna binamu wangu alifanikisha kupitia njia hiyo fasta sana