Uhamisho wa watumishi umeyeyukia wapi!!!

Uhamisho wa watumishi umeyeyukia wapi!!!

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,021
Reaction score
1,268
Hivi jamani tuseme hata uhamisho wa watumishi wa umma unahtaji fungu ama vp!? maana uhakiki umeisha na hatuoni dalili wakati wengine tulivyoomba tuliweka commitment kuwa tupo tayari kujigharamia.

Hii imekaaje kwa wale wanaotembelea office za tamisemi mara kwa mara
 
mkuu mbona mm naona uamisho unaendelea labda kutangaza bado.uamisho unaendana na kuangalia balance ya manpowe kwenye vituo husika kwenye maeneo ambayo yameshafanyiwa upembuzi wa nguvu kazi
 
mkuu mbona mm naona uamisho unaendelea labda kutangaza bado.uamisho unaendana na kuangalia balance ya manpowe kwenye vituo husika kwenye maeneo ambayo yameshafanyiwa upembuzi wa nguvu kazi
Hujui unachokiongea bora ukae kimy!! Uhanisho wa mwez wa sita umeganda tamisem
 
Back
Top Bottom