Uhamisho wa TAMISEMI

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
659
873
Wakuu naomba mwenye taarifa zozote kuhusu uhamisho wa TAMISEMI maana naona giza tu hata tetesi tu hamna
 
Yani Tamisemi hawaeleweki ingekuwa vizuri wadau waliopo Dodoma wakaulize ili tujue hatma yetu
 
Back
Top Bottom