Sababu za uhamisho ni nn??..kama ni ndoa je una vyeti ??japokuwa hiii sababu kuna kipindi walikuwa wanapuuzia sana....je huko anapokwenda kuna uhitaji wa hyo taaluma ?mana barua yakuomba kuhama inabidi ipitishwe hapo alipo na anapokwenda wanaoneshe kweli wanauhitaji wa huyo mtu na watampokea...ikifika hapo kazi imeisha..inabaki TAmisemi ku endorse tuu na kuhamisha taarifa za muhusika..
Kama nimekosea mtanirekebisha mana mm sio HRO na nipo nje ya Utumishi wa umma kwa mda sasa...