Uhamisho wa mwalimu

Uhamisho wa mwalimu

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
naomba anaejua utaratibu wa kuhama kwa mwalimu wa msingi anambie process ikoje. nna genuine reason tatizo cjui nanzie wapi
 
andika barua kwenda katibu tawala tamisemi Taifa Dodoma kama unahama mkoa bt kama sio mkoa itume kwa katibu tawala mkoa uliyopo. KK Mkurugenzi wa wilaya au mkoa unayo enda KK afisa elimu unakoenda. KK Mkurugenzi mtendaji unapotoka KK afisaelimu unapotoka KK Mwalimu mkuu unapotoka. Unapofundisha. Andika ombi lako kwao ukitaja na basic reasons then wapitishe wote kisha usubiri Kibali kutoka Tawala mkoa uliopo au Tawala Taifa dodoma kama unahama mkoa. Then ukipata kibali kilete tena kwa Mkurugenzi unapo hama ufungiwe personal Data sheet upeleke kule unapo hamia for salary transfer. Kazinjema khilala kheri mkuu.
 
thanks nami umenisaidia
 
hiyo inaweza kuwa sahihi lakini hii nafikiri ni sahihi zaidi uhamisho una hatua kama mbili au zaidi hatua ya kwanza unatakiwa kutafuta nafasi kule unataka kuhamia wilaya au manispal andika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia wilaya au manispal andika kwa mkurugenzi mtendaji(W) Kule unakata kk. Mkurugenzi mtendaji(w) ulipo kk. Afisa elimu(w) ulipo kk mwl mkuu ulipo then heading iwe kuomba nafasi ya kuhamia ktk wilaya/manispal yako then eleza sababu zako za msingi. Ukipitisha kwa watu wote hao utaipeleka barua kule unataka kuhamia wao wakuandikia barua kukubali kukupa nafasi ya kuhamia kwao
hatua ya pili ni kuomba kibali Tamisemi Dodoma andika barua kwa katibu mtendaji Tamisemi Dodoma kk Katibu Tawala(M) Ulipo kk mkurugenzi mtendaji (W) ulipo kk Afisa Elimu(W) Ulipo heading iwe YAH. Kuomba kibali cha uhamisho kisha eleza sababu pia eleza kuwa umepata nafasi ya kuhamia kule unataka kuhamia kisha ambatanisha barua ulipata kule unahamia na document zingine kama zipo kisha pitisha kusaini kwa watu wote kisha itume kwa regesita/EMS Tamisemi Dodoma. Usipate gharama ya kwenda Dodoma Kibali kitakufuta pale ulipo(wilaya/manipal) Hatua ya tatu ukipata Kibali toka Tamisemi utafungiwa Data Sheet, just one page sasa beba vilago vyako nenda kule. Onyo njia hii ni official na haina longo wala rushwa. Chanzo cha rushwa ni kukosea utaratibu. Nipo kwenye system barua lazima itapita kwangu popote ulipo. Kazi njema.
 
thanks wakubwa mmenipa mwanga, kifup mi nipo Mara ndo nafundisha sababu ya kutaka kuhama ni ugonjwa nataka niwe karibu na hosp ya muhimbili nakopatia matibu . kwa hiyo km nataka kuhamia mfano; Temeke nachotakiwa kwanza ni kuandika barua ya kuomba nafasi Temeke kabla ya kitu kingne
 
1. Andika barua kwa mkurugenzi wa halmashauri unayotaka kuhamia. Barua ipitie kwa mwl mkuu, Afisa elimu s/msingi, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri uliyopo. Mkurugenzi wa halmashauri atakujibu kwa barua juu ya kuwepo kwa nafasi. Ded aliyekuajiri sasa ataambatisha barua kutoka kwa Ded unakoiamia na mkurugenzi wa sasa atamwandikia barua RAS ambaye naye atawatumia Tamisemi. Ambatanisha kitambulisho cha kazi, salary slip, cheti cha ndoa au ugonjwa.
 
Ngoja nianze mipango maana niliko huku naweza potea kabisa ati. Il amlolongo mrefu sana mkuu
 
Aisee kumbe.. ss na uhamisho unamuhusu hasa mtu aliye na muda gani kazini...mfano mtu ndo kwanza karipoti..je anaruhusiwa kuanza process za uhamisho..au mpk nitimize mda fulani kazini
 
hiyo inaweza kuwa sahihi lakini hii nafikiri ni sahihi zaidi uhamisho una hatua kama mbili au zaidi hatua ya kwanza unatakiwa kutafuta nafasi kule unataka kuhamia wilaya au manispal andika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia wilaya au manispal andika kwa mkurugenzi mtendaji(W) Kule unakata kk. Mkurugenzi mtendaji(w) ulipo kk. Afisa elimu(w) ulipo kk mwl mkuu ulipo then heading iwe kuomba nafasi ya kuhamia ktk wilaya/manispal yako then eleza sababu zako za msingi. Ukipitisha kwa watu wote hao utaipeleka barua kule unataka kuhamia wao wakuandikia barua kukubali kukupa nafasi ya kuhamia kwao
hatua ya pili ni kuomba kibali Tamisemi Dodoma andika barua kwa katibu mtendaji Tamisemi Dodoma kk Katibu Tawala(M) Ulipo kk mkurugenzi mtendaji (W) ulipo kk Afisa Elimu(W) Ulipo heading iwe YAH. Kuomba kibali cha uhamisho kisha eleza sababu pia eleza kuwa umepata nafasi ya kuhamia kule unataka kuhamia kisha ambatanisha barua ulipata kule unahamia na document zingine kama zipo kisha pitisha kusaini kwa watu wote kisha itume kwa regesita/EMS Tamisemi Dodoma. Usipate gharama ya kwenda Dodoma Kibali kitakufuta pale ulipo(wilaya/manipal) Hatua ya tatu ukipata Kibali toka Tamisemi utafungiwa Data Sheet, just one page sasa beba vilago vyako nenda kule. Onyo njia hii ni official na haina longo wala rushwa. Chanzo cha rushwa ni kukosea utaratibu. Nipo kwenye system barua lazima itapita kwangu popote ulipo. Kazi njema.
Mkuu for this comment nimeweza kuhc unaweza ukawa na position flani kwenye system...kama hutojali naomba unisaidie nipate uamisho kama una position and connection yyte..sina mtu kwenye system anayeweza kunisaidia but nina serious problem in such away that inasababisha nijifikirie hata kuacha kazi kama itashindikana mi kupata uamisho..sitakuwa na cha kukulipa but naimani kuna siku mungu atakulipa..najua utajiuliza ujasiri ka huu wa ku mface mtu ambaye simfahamu naupata wapi but mkuu ckuzote ukipata matatizo serious huwezi kuwa na uoga na kujikuta una mface mtu yoyote unayehisi anaweza kukusaidia..kama hutojali naomba nikaribishe pm..nakuomba sana mkuu
 
Aisee kumbe.. ss na uhamisho unamuhusu hasa mtu aliye na muda gani kazini...mfano mtu ndo kwanza karipoti..je anaruhusiwa kuanza process za uhamisho..au mpk nitimize mda fulani kazini
Mda wowote unaruhusiwa..
 
Nauliza,mkurugenzi akigoma kusaini barua ya uhamisho uliyokamilika, hayua gani niifate?
 
Hilo ni tatizo kubwa sana kwa wakurugenzi wengi.Wangekuwa wana saini na kukoment wanacho kifikiri na si kukataa kusaini
 
Mkuu for this comment nimeweza kuhc unaweza ukawa na position flani kwenye system...kama hutojali naomba unisaidie nipate uamisho kama una position and connection yyte..sina mtu kwenye system anayeweza kunisaidia but nina serious problem in such away that inasababisha nijifikirie hata kuacha kazi kama itashindikana mi kupata uamisho..sitakuwa na cha kukulipa but naimani kuna siku mungu atakulipa..najua utajiuliza ujasiri ka huu wa ku mface mtu ambaye simfahamu naupata wapi but mkuu ckuzote ukipata matatizo serious huwezi kuwa na uoga na kujikuta una mface mtu yoyote unayehisi anaweza kukusaidia..kama hutojali naomba nikaribishe pm..nakuomba sana mkuu
Epuka matapeli. Usije lizwa, ukaja juta.
 
Back
Top Bottom