M mwalunyungu Member Joined Feb 1, 2014 Posts 67 Reaction score 23 Sep 21, 2017 #1 Mimi Mwl wa idara ya sekondari natafuta Mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje halmashauri ya Ngara na Mimi nihamie halmashauri ya Mji Geita. Kwa mawasaliano. 0782806017/0755420225
Mimi Mwl wa idara ya sekondari natafuta Mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje halmashauri ya Ngara na Mimi nihamie halmashauri ya Mji Geita. Kwa mawasaliano. 0782806017/0755420225
maiyanga1 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 1,392 Reaction score 1,944 Sep 21, 2017 #2 Kwani uhamisho umeruhusiwa ? Tumeambiwa ulisimamishwa kwa ajili ya uhakiki, na tukaambiwa uhakiki ni zoezi endelevu.
Kwani uhamisho umeruhusiwa ? Tumeambiwa ulisimamishwa kwa ajili ya uhakiki, na tukaambiwa uhakiki ni zoezi endelevu.