S Sir Future Member Joined Dec 30, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Jul 5, 2014 #1 Uhamiaji vp? tupeane updates tumekuwa kimya sana, final draft ya majina ya waliopita yatatoka lin?
E Emmahu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 977 Reaction score 1,715 Jul 5, 2014 #2 Within next week, according to insider.
mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Jul 5, 2014 #4 Majina tayari wewe cheki website yao
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Jul 5, 2014 #6 yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70
M mpambanaji1 Member Joined Dec 31, 2013 Posts 36 Reaction score 39 Jul 5, 2014 #7 KAKA YAKO NAPITA said: yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70 Click to expand... mkuu hiyo website uliyoona hayo majina ni ipi????? Maana nimeingia sijaona kitu kama icho au ndo kuwarusha watu roho???
KAKA YAKO NAPITA said: yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70 Click to expand... mkuu hiyo website uliyoona hayo majina ni ipi????? Maana nimeingia sijaona kitu kama icho au ndo kuwarusha watu roho???
N NICODE Member Joined Jul 18, 2012 Posts 68 Reaction score 10 Jul 5, 2014 #8 KAKA YAKO NAPITA said: yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70 Click to expand... Jamani embu kuweni serious basi kama kuna hayo majina tuwekeeni au ndo kurushana roho
KAKA YAKO NAPITA said: yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70 Click to expand... Jamani embu kuweni serious basi kama kuna hayo majina tuwekeeni au ndo kurushana roho
E Emmahu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 977 Reaction score 1,715 Jul 5, 2014 #9 KAKA YAKO NAPITA said: yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70 Click to expand... Website inafunguka vizuri tu na majina hamna, acha kuongopea watu.
KAKA YAKO NAPITA said: yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70 Click to expand... Website inafunguka vizuri tu na majina hamna, acha kuongopea watu.
M Mbunge wa ilula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 211 Reaction score 18 Jul 5, 2014 #10 Kama we siyo kati ya wale 58,sahau kabisa,hizo zina wenyewe na wenyewe ni wale 58
mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 Jul 7, 2014 #11 Mbunge wa ilula said: Kama we siyo kati ya wale 58,sahau kabisa,hizo zina wenyewe na wenyewe ni wale 58 Click to expand... Acha kupotosha watu ndugu, je una ushaid wowote ili tukubaliane na wewe?
Mbunge wa ilula said: Kama we siyo kati ya wale 58,sahau kabisa,hizo zina wenyewe na wenyewe ni wale 58 Click to expand... Acha kupotosha watu ndugu, je una ushaid wowote ili tukubaliane na wewe?
kijana mgumu Member Joined Jan 26, 2013 Posts 48 Reaction score 15 Jul 7, 2014 #12 Mbunge wa ilula said: Kama we siyo kati ya wale 58,sahau kabisa,hizo zina wenyewe na wenyewe ni wale 58 Click to expand... ​Katika yale majina 58 ya nyongeza, walioitwa kwenye oral interview ni 15 tu. Unaweza kuprove kama muda unao.
Mbunge wa ilula said: Kama we siyo kati ya wale 58,sahau kabisa,hizo zina wenyewe na wenyewe ni wale 58 Click to expand... ​Katika yale majina 58 ya nyongeza, walioitwa kwenye oral interview ni 15 tu. Unaweza kuprove kama muda unao.
mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 Jul 7, 2014 #13 Safi kijana mgumu, tunataka facts na si kuongea bila evidence saf sana
chumvichumvi JF-Expert Member Joined May 6, 2010 Posts 1,207 Reaction score 312 Jul 9, 2014 #14 yatatoka wakimaliza kusoma vimemo
S Sir Future Member Joined Dec 30, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Jul 9, 2014 Thread starter #15 chumvichumvi said: yatatoka wakimaliza kusoma vimemo Click to expand... kijana umejuaje? acha tusio na vimemo tusubili bahati zetu.
chumvichumvi said: yatatoka wakimaliza kusoma vimemo Click to expand... kijana umejuaje? acha tusio na vimemo tusubili bahati zetu.