Sir Future
Member
- Dec 30, 2013
- 9
- 0
Uhamiaji vp? tupeane updates tumekuwa kimya sana, final draft ya majina ya waliopita yatatoka lin?
yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70
yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70
Website inafunguka vizuri tu na majina hamna, acha kuongopea watu.yametoka cheki website yao japo inazingua.kidogo wamechukua watu 200 badala ya 70
Kama we siyo kati ya wale 58,sahau kabisa,hizo zina wenyewe na wenyewe ni wale 58
​Katika yale majina 58 ya nyongeza, walioitwa kwenye oral interview ni 15 tu. Unaweza kuprove kama muda unao.Kama we siyo kati ya wale 58,sahau kabisa,hizo zina wenyewe na wenyewe ni wale 58
yatatoka wakimaliza kusoma vimemo