Uhamiaji vipi kuhusu Djuma?

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,741
Habari jamani.

Hivi naomba kujulishwa jambo moja!! Jana kocha wa Simba Jackson Mayanja kajiuzulu. Leo Mara Paaaaaaaap kapatikana replacement kutoka Rwanda raia wa burundi. Mara Paaaaaaaaaaaaaap tayari nimeona picha anapiga kazi akiwa amesimama na Niyonzima. Hiviiii tayari ana vibali vyote vya kuishi na kufanya kazi nchini????!!

Naomba tujulishwe imekuaje repalcement ya aliyejiuzulu ikafanyika fasta namna hii. Lishughulikiwe mapema na kama kuna kesi iishe baaada ya tarehe 28 mwezi huu.



Asanteni.
 
Utakuwa yanga wewe sio bure...by the way Simba ni timu kubwa, hatufanyi mambo kijadijadi!!
 
Utakuwa yanga wewe sio bure...by the way Simba ni timu kubwa, hatufanyi mambo kijadijadi!!
Ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............................nimecheka hadi basi aiseee.....akae pembeni mpaka mechi yetu iishe. Hapa kazi tu....nina imani kwa uzi huu wahusika wanaelekea hotelini.
 
Unauliza mnyarwanda mbona ikulu wamejaa wanamlinda magufuli
 
Naye hamalizi mwaka anaondoka kwa sababu Simba hawawezi kuchukua ubingwa mwaka huu! Hii timu ina viongozi wa ovyo sana
 
Naye hamalizi mwaka anaondoka kwa sababu Simba hawawezi kuchukua ubingwa mwaka huu! Hii timu ina viongozi wa ovyo sana
Naungana nawe,100℅,viongozi wanapiga marktime tu,
Tatizo n wao,kwanini walimleta Omog to replace Mayanja?
Omog hawezi wapa ubingwa Simba,hana mbinu mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…