Uhamiaji updates..

Uhamiaji updates..

Kwenye website yao hamna kwa anaelijua hili atoe hoja
Nawasilisha
 
watoto wa wakubwa tu ndo wanao jua sisi atujui wa vijijini
 
jaman cpati pich iyo cku wakitoa majn..... Nawatakia mafanikio walioomba waitwe wote....
 
ni mpaka kipite kikao cha bajet mwez wa saba jaman. tusijipe preasure bure mambo badoooo!
 
Naskia wametoa majina no kwa post zipi tafadhali tujulishane
 
Aahahhaha..."mpishi na fundi mabomba" hii ni kaliiiiiiiii....mhapa
 
Aahahhaha..."mpishi na fundi mabomba" hii ni kaliiiiiiiii....mhapa


Si ndio mnavyotaka habari za miyeyusho kwani hakuna mambo mengine kila siku uhamiaji tu wakati habari ni kuwa hadi bajeti ya mambo ya ndani ipite.
kilanga komo
 
Back
Top Bottom