Lugha nayo inachangia.police karibia wote hawajui kiingereza.
hahaha kuna mambo ukifikiria sana unaweza kuichukia nchi yako. Nakumbuka niliendaga Zanzibar tukawa tunapiga picha bustani ya forodhani wakatokea weusi wenzetu wakasema haituhusiwi kupiga picha bila kibali.
Siku hizi ofisi za umma ili uhudumie au uruhusiwe kuingia ndani lazima uwe umevaa mavazi ya staha ambayo wameyabandika kwenye mbao za matangazo. Wameonyesha mavazi yanayofaa na yasio faa. Ila ilibidi itumike kwa watu wote sio kibaguzi kama alivyofanyiwa mleta mada
Ndugu unajua TOFAUTI ya uhamiaji na ubalozi (kuomba viza?) ama na wewe ulisoma chuo cha ushirika Moshi?Zamani nilikuwa naona watu wanaenda ubalozi ni kuomba visa na suit eti kama hukuvaa suit Balozi atakuona masikini unaenda kutafuta maisha, sikukubaliana nalo, siku nilio kwenda wakati nahitaji hio visa, nilienda na pans tu, mbona sikukataliwa!
Kama mtu wa kawaida unaenda sehemu as customer u naweza kuvaa vyovyote as long sio uchi, huwendi kuomba kazi boss
Mkuu ubalozi una tofauti gani na uhamiaji! Kazi zao ni similar, ,halafu, mbona huku zanzibar uhamiaji tunaingia na pakacha za tungule na pans ?Ndugu unajua TOFAUTI ya uhamiaji na ubalozi (kuomba viza?) ama na wewe ulisoma chuo cha ushirika Moshi?
Ndugu inaelekea elimu yako ya kuunga unga huenda hata ndo umeanza FOUNDATION course kwenye chuo pale BWEJUU au KIBANDAMAITI.Mkuu ubalozi una tofauti gani na uhamiaji! Kazi zao ni similar, ,halafu, mbona huku zanzibar uhamiaji tunaingia na pakacha za tungule na pans ?