Uhamiaji na NSSF

Uhamiaji na NSSF

MUHEZAKAYA

Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
15
Reaction score
9
Naomben ushauri,nimeitwa uhamiaj depo ccp nafas ya koplo,na nssf wameniita kwenye written interview nafasi ya operation officer ,je wap niende?
 
Ni mtihani Mgumu kuamua,lakini ni bora uende uhamiaji maana ushaitwa Depo tofauti na TRA ambapo ni interview ambayo ina mawili kufanikiwa au kutofanikiwa!
 
Nakushauri nenda kapige mafunzo uhamiaji usipoteze muda wako ukaja kujilaumu, NSSF pagumu sana
 
Be serious sometime.....unataka kuacha kazi kwa sababu ya interview ambayo probability ya kupata ni less than 0.01.
Then we msomi wa wapi tunataka kufanya choose in things avifanani. Choice inakuja between kazi na kazi au interview with other interview.... Msomi wewe tunataka kufanya choice btn kazi na interview.aaaggghhh
 
Mdau safi sana umetoa ushauri mzuri na wengine wataelimika kupitia huo ushauri nyie ndo watu mnaotakiwa humu kwani mnatoa mawazo yenye kujenga hongera mkuu.
 
Be serious sometime.....unataka kuacha kazi kwa sababu ya interview ambayo probability ya kupata ni less than 0.01.
Then we msomi wa wapi tunataka kufanya choose in things avifanani. Choice inakuja between kazi na kazi au interview with other interview.... Msomi wewe tunataka kufanya choice btn kazi na interview.aaaggghhh

Well said
 
Back
Top Bottom