ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,128
- 50,818
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.
So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.
Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.
========
"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.
"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.
Clouds
My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.