Kweli kabisaaa mkuu hayo mengine ni kujilisha upepo!!Haikupeliki Mbinguni kujua nani fake na nani original na pia kuibariki wala kuto kuibariki haikupeleki mbinguni isipokuwa ni miongoni mwa hatua za kukujenga katika safari ya mbinguni ipo hv, Hosea 4:6 inasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa", Yohana 8:32 "wataijua kweli na kweli itawaweka huru" hivi sasa wakristo weengi sana wamekuwa watumwa wa hili taifa la israel siwalaumu bado hawajaijua kweli siku wakijua watakuwa huru kutokana na hilo taifa wanaloshinda kila siku kuliombea,kulisaidia nk wengine wamebandika hadi mabendera ya israel kwenye magari yao ni utumwa tu wakuto kujua maandiko na ukijua sio ndio tiketi ya kuingia mbinguni hapana na sio kila andiko unalolijua litakuingiza mbinguni hapana ila linakusaidia kukujenga kiroho,kiimani na kimwili pia! Njia ni moja tu yakukuingiza mbinguni nayo ni kumfuata Yesu kristo
Samahani mtoa mada naomba kuuliza according to your explanation hapo kuhusu yesu alikua mungu so unamaana kuna miungu wa tatu na hiyo point ya mwisho mchangiaji aliuliza walikua dini gani hao manabii waliopita na kwanini yesu afuate mafundisho yao wakati yeye ni mungu1.Huwezi kumjua Mungu na Yesu Bila kujijua wewe mwenyewe bwana John Q upoje! kwasababu Biblia imesema wazi Mwanzo 1:26,Mungu alikuwa anasemezana na kitu kingine na kukubaliana "na TUMFANYE mtu kwa mfano Wetu"! angekuwa pekeyake asingesema "Tumfanye" angesema "nifanye" hapo katumia wingi na sio umoja! sasa kujua Mungu alikuwa anasema na nani inatakiwa tumjue huyo mtu aliyeumbwa na Mungu kwa mfano wake ndio tutapata picha ya huyo aliyekuwa anasema naye hapo awali namna ya kumuumba mtu kwa mfano wao!
Namna Mtu alivyo, hapa nitatumia mfano wako mwenyewe, Wewe kama John i mean mtu John upo katika sehem tatu,Una Roho (binadamu woote wana Roho),una Mwili na pia una Nafsi soma Warumi 8:23 Na 2 Wakorintho 7:1, sasa Roho Hukaa ndani ya Nafsi (matendo 20:28,waebrania 4:12) na kwapamoja nafsi na roho hukaa ndani ya mwili ndio unakuwa wewe bwana John-Q,sasa wewe John Q una vitu vitatu una mwili ndio huo unao uona na ndani yako una roho na nafsi na ukitizama kwa makini huwa wakati mwingine mnabishana na hivyo viwili vilivyopo ndani yako,mwili wako unaweza ukawa unatamani kufanya jambo fulani lakini roho haipo tayari! au kinyume chake,mwili ni dhaifu siku zoote lakini sio roho (soma Mathayo 26:41) sasa tunaposema mtu kafariki ni pale Nafsi na roho vinauacha Mwili vinatengana ule mwili unabaki pekeyake hapa Duniani ukirudi mavumbini roho ndio inatangulia huko mbele kwenda kwenye hukumu,ndiomaana Biblia inasema tusijitaabishe na vya mwilini! mwisho wa siku tutaviacha!
Kwahiyo binadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu ana hivyo vitu vitatu Roho,Nafsi na Mwili so na Mungu naye pia ana hivyo Vitu vitatu!
1.Mungu ana "NAFSI" (Mwanzo 22:16,1Samweli 2:27),ndio Mungu Baba huyo
2.Mungu ana "ROHO" ndio Roho mtakatifu,Roho wa Bwana (Mwanzo 6:3,waamuzi 3:10 Hapa kuna maandiko Mengi sana yanayo elezea Roho wa Mungu)
3.Mungu ana MWILI,hapa ndipo penye utata! mwili wa Mungu ndio Yesu kristo!,Biblia imesema wazi kabisa kabla Mungu hajaumba chochote kile aliuumba mwili wake,alimuumba Yesu kristo ,Wakolosai 1:15-16 "Ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyoooote" ndiomaana Mungu alimwita Yesu kama Mwanawe wa pekee "Yohana 3:16",Yesu alikuwepo tangia zamani(Yohana 8:58),Yesu ni Mungu katika mwili "1Timotheo 3:16!,Yesu ni Mungu kati yetu "Mathayo 1:23,Yesu ni Neno na neno ni Mungu!,Yohana 1:1-3,Mwanzo 1:1,Yesu alimtokea Ibrahimu wakati Mungu anataka kuangamiza Sodoma na Gomora "Mwanzo 18,Yohana 8:56,Yesu alionekana pamoja na Shadraka,Abednego na Meshaki katika tanuru la Moto" Daniel 3:23-25, kuna vifungu viingi vinavyoongelea U-Mungu wa Yesu ni wewe mwenyewe kusoma na kuamini katika biblia.
2.Jibu la swali lako la pili.,
Wakristo wengi wamekuwa kama Nyumbu hawasomi maandiko na kuyachunguza wanapokea kile wanachoambiwa na wachungaji wao kama kilivyo,kumbuka sio kila wachungaji unaowasikia na kuwaona ni watumishi wa Mungu,wachungaji wengi sana sikuhz ni mapandikizi ya shetani wanapewa na kuambiwa cha kufanya na kuhubiri kutoka chini,mithali 14:15 "mjinga huamini kila neno bali mwerevu hayachunguza" sio kila unaloambiwa kanisani lipo sawa nenda kalichunguze kabla ya kuliamini tunaishi nyakati za mwisho hizi Uongo ni mwingi makanisani,
3.Jibu la swali lako la tatu
Lengo la kuja Yesu ni kuikomboa dunia yoote kutoka kwenye utumwa wa dhambi na sio wayahudi tu,na ukisoma kabla ya kuja Yesu ilikuwa ni kuhusu taifa moja tu la israel na sio mengine ilikuwa ukombozi kwa wana wa israeli tuna sio wana wa mataifa yoote,mafundisho ya agano la kale kipindi kile yalikuwa kwa ajili ya wale wana wa israel na mafundisho ya agano jupya baada ya yesu kuja plus na yale ya agano la kale ni kwaajili ya kila mtu kujifunza ndiomaana Yesu aliwaagiza wanafunzi waki wakaihubiri injili mataifa Yooote na sio wayahudi tu! maagano yoote la kale na jipya yoote ni neno la Mungu lile lile linafaa kwa mafundisho,yesu alisema hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza Mathayo 5:17
Mkuu misri ni nchi ya black siyo hawa waarabu wa leo. Ni like Amerika haikuwa ardhi ya wazunguMengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
tatizo sio kusoma tu!bali kuna tofauti pia ya kuelewa jambo!Kwahiyo wale wayahudi wote siyo halisi? Halisi ni wapi sasa na wako utumwani nchi gani? Vipi kuhusu wale ethiopian Jews waliorudishwa Israel mwaka 1991, je na wao siyo halisi? lakini pia vipi kuhusu wale aliowaua Adolf Hitler kule Ujerumani wakati wa WW2 hawakuwa halisi? duuh! Kumbe Adolf Hitler aliua wayahudi fake? Nauliza tu!
Ufala huuOgopa laana ya Mungu YEHOVA kila silaaniye Israel atalaaniwa na yule aibarikie naye atabarikiwa.
jibu la swali la kwanza kuhusu uungu wa YesuSamahani mtoa mada naomba kuuliza according to your explanation hapo kuhusu yesu alikua mungu so unamaana kuna miungu wa tatu na hiyo point ya mwisho mchangiaji aliuliza walikua dini gani hao manabii waliopita na kwanini yesu afuate mafundisho yao wakati yeye ni mungu
Sijaelewa kidogo mtoa mada kwa hiyo hao manabii waliopita wote walikua wanafuata dini ya kiyahudi ila wayahudi si watu au jumuiya ya watu kama tunavyosema wasukuma je walikua dini gani au dini yao haikua na jina ndiyo dini ya kiyahudi ambayo ndiyo waliomsulubu yesu??jibu la swali la kwanza kuhusu uungu wa Yesu
1.Kuna Mungu mmoja tu ambaye anamwili(Yesu),ana Roho(Roho Mtakatifu) na ana Nafsi(Mungu) kwa pamoja hivi vitatu vinafanya Mungu Mmoja na nimakosa kutenganisha au kusema
'Mungu BABA,Mungu Mwana Na Mungu roho mtakatifu'!
Hakuna kitu kama hicho kuna Mungu mmoja tu ambaye amejidhihirisha katika sehemu tatu hizo nimezitaja hapo juu
ukisoma 1Timotheo 3:16 inasema hivi
"Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu.Mungu alidhihirishwa katika MWILI,akajulikana kuwa na haki katika ROHO,akaonekana na malaika,akahubiriwa katika mataifa,akaaminiwa katika ulimwengu,akachukuliwa juu katika UTUKUFU"
Ukianza ku Break-Down(Kuuchambua) huo mstari utagundua amemzungumzia Yesu kuwa ni Mungu ambaye kajidhihirisha kwetu katika Mwili!,alishuka duniani katika mwili! yaani ni Mungu katika mwili,pia alionekana kuwa mwenye haki katika roho,na yupo juu katika utukufu!,YESU mwenyewe alisema "MIMI NA BABA TU WAMOJA" hakusema yeye ni Mungu mwana halafu kuna Mungu BABA!,Yohana 14:7 "kama mngalinijua mimi,mngalimjua baba,tangu sasa mnamjua,tena mmemwona" maana yake Yesu ni Mungu ila alijidhihirisha ktk mwili na walikuwa wanamuona wazi wazi na wasimtambue!!! (soma hizo comment zangu hapo juu nimeweka vifungu vingi sana vinavyoonyesha Uungu wa Yesu nikiweka hapa tena nitakuwa navirudia tu japo nimejitahidi kurudia vya muhimu)
2.Jibu la swali la pili ni hivi
Manabii woote waliopita (kabla na baada ya Yesu) hawakuwa na Dini tofauti(mwanzo walikuwa wanafuata dini ya kiyahudi,baadaye wakwa wanafuata dini yenye mafundisho ya Yesu) lakini walikuwa na imani katika Mungu mmoja wa Israeli,isaka na Yakobo na baadaye YESU kristo kupitia kanisa na sio miungu wengine,dini ni taratibu tu za kibinadamu tulizojiwekea hapa duniani kwa watu wenye misimamo inayofanana kuhusu jambo flani ndiomaana dini zikitofautiana kuhusu maswala ya msingi ya kiimani hutengana na ndiomaana tuna dini nyingi sana tangia enzi na enzi na dini haimpeleki mtu mbinguni bali matendo Yakobo 1.27 inaeleza dini gani safi
Yesu hakuwa anafuata mafundisho ya hao manabii wa zamani sababu hayo mafundisho yeye kama Mungu ndio aliyatoa kwao ili yafuatwe na sisi binadamu sio yeye,ndiomaana walikuwa wanamuona kama anavunja maandiko ya torati,akawaambia hakuja kuivunja torati bali kuitimiliza!!!! sababu yoote yalioandikwa na torati lazima yatimie ndio yeye sasa kaja kuyatimiliza ndiomaana unaona vitu vingi sana alikuja kuvitenda kinyume na torati hii ikiwemo SABATO,kuhubiria mataifa,kusamehe 7x70,ndoa ya mke mmoja,kuleta meza ya Bwana nk..... kiuhalisia sio rahisi Mungu kufuata mafundisho ya manabii ambayo yametoka kwake yeye mwenyewe, Kimsingi yale yaliyokuwa yanasemwa na manabii kabla ya Yesu kuja duniani yalikuwa yanatoka kwake mwenyewe kwa Mungu! so ni yakwake tu sio ya manabii
Ok kwa haraka harakaSijaelewa kidogo mtoa mada kwa hiyo hao manabii waliopita wote walikua wanafuata dini ya kiyahudi ila wayahudi si watu au jumuiya ya watu kama tunavyosema wasukuma je walikua dini gani au dini yao haikua na jina ndiyo dini ya kiyahudi ambayo ndiyo waliomsulubu yesu??
Hiyo point ya pili hapo so mungu alishuka duniani akiwa amejivika mwili wa mtu ambae ndiyo yesu kuja kuikamilisha torati ila maandiko yanasema mungu hana mfano wake hakuna kitu chochote cha kukilinganisha na yeye hazai hali wala hanywi na yeye ndiyo mkuu sasa alivyosulubiwa msalabani dunia ilikua inajiongoza au kulika na mungu mwingine anaiongoza??
Haya mambo ya dini huwa yananifanya niwe berserk sielewi elewi naomba unieleweshe mkuu
Matango pori, biblia moja ila tafsiri zinzotolewaga ni pasua kichwa kabla ya yesu kusulubiwa alisali mlimani kwenye mizeituni akalia kwa michozi ya damu na alikua anamuomba Mungu amuepushe ni kikombe cha mateso maana aliona mbele yake kuna nini kitafuata, na hata msalabani pia alisema eloi eloi Mungu wangu mbona umeniacha, swali kama yeye ni Mungu, huyo Mungu alokua anamuomba ni yupi?jibu la swali la kwanza kuhusu uungu wa Yesu
1.Kuna Mungu mmoja tu ambaye anamwili(Yesu),ana Roho(Roho Mtakatifu) na ana Nafsi(Mungu) kwa pamoja hivi vitatu vinafanya Mungu Mmoja na nimakosa kutenganisha au kusema
'Mungu BABA,Mungu Mwana Na Mungu roho mtakatifu'!
Hakuna kitu kama hicho kuna Mungu mmoja tu ambaye amejidhihirisha katika sehemu tatu hizo nimezitaja hapo juu
ukisoma 1Timotheo 3:16 inasema hivi
"Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu.Mungu alidhihirishwa katika MWILI,akajulikana kuwa na haki katika ROHO,akaonekana na malaika,akahubiriwa katika mataifa,akaaminiwa katika ulimwengu,akachukuliwa juu katika UTUKUFU"
Ukianza ku Break-Down(Kuuchambua) huo mstari utagundua amemzungumzia Yesu kuwa ni Mungu ambaye kajidhihirisha kwetu katika Mwili!,alishuka duniani katika mwili! yaani ni Mungu katika mwili,pia alionekana kuwa mwenye haki katika roho,na yupo juu katika utukufu!,YESU mwenyewe alisema "MIMI NA BABA TU WAMOJA" hakusema yeye ni Mungu mwana halafu kuna Mungu BABA!,Yohana 14:7 "kama mngalinijua mimi,mngalimjua baba,tangu sasa mnamjua,tena mmemwona" maana yake Yesu ni Mungu ila alijidhihirisha ktk mwili na walikuwa wanamuona wazi wazi na wasimtambue!!! (soma hizo comment zangu hapo juu nimeweka vifungu vingi sana vinavyoonyesha Uungu wa Yesu nikiweka hapa tena nitakuwa navirudia tu japo nimejitahidi kurudia vya muhimu)
2.Jibu la swali la pili ni hivi
Manabii woote waliopita (kabla na baada ya Yesu) hawakuwa na Dini tofauti(mwanzo walikuwa wanafuata dini ya kiyahudi,baadaye wakwa wanafuata dini yenye mafundisho ya Yesu) lakini walikuwa na imani katika Mungu mmoja wa Israeli,isaka na Yakobo na baadaye YESU kristo kupitia kanisa na sio miungu wengine,dini ni taratibu tu za kibinadamu tulizojiwekea hapa duniani kwa watu wenye misimamo inayofanana kuhusu jambo flani ndiomaana dini zikitofautiana kuhusu maswala ya msingi ya kiimani hutengana na ndiomaana tuna dini nyingi sana tangia enzi na enzi na dini haimpeleki mtu mbinguni bali matendo Yakobo 1.27 inaeleza dini gani safi
Yesu hakuwa anafuata mafundisho ya hao manabii wa zamani sababu hayo mafundisho yeye kama Mungu ndio aliyatoa kwao ili yafuatwe na sisi binadamu sio yeye,ndiomaana walikuwa wanamuona kama anavunja maandiko ya torati,akawaambia hakuja kuivunja torati bali kuitimiliza!!!! sababu yoote yalioandikwa na torati lazima yatimie ndio yeye sasa kaja kuyatimiliza ndiomaana unaona vitu vingi sana alikuja kuvitenda kinyume na torati hii ikiwemo SABATO,kuhubiria mataifa,kusamehe 7x70,ndoa ya mke mmoja,kuleta meza ya Bwana nk..... kiuhalisia sio rahisi Mungu kufuata mafundisho ya manabii ambayo yametoka kwake yeye mwenyewe, Kimsingi yale yaliyokuwa yanasemwa na manabii kabla ya Yesu kuja duniani yalikuwa yanatoka kwake mwenyewe kwa Mungu! so ni yakwake tu sio ya manabii
Matango pori, biblia moja ila tafsiri zinzotolewaga ni pasua kichwa kabla ya yesu kusulubiwa alisali mlimani kwenye mizeituni akalia kwa michozi ya damu na alikua anamuomba Mungu amuepushe ni kikombe cha mateso maana aliona mbele yake kuna nini kitafuata, na hata msalabani pia alisema eloi eloi Mungu wangu mbona umeniacha, swali kama yeye ni Mungu, huyo Mungu alokua anamuomba ni yupi?
Wewe imani yako inakutuma kusema Yesu ni Mungu mimi nakataa na sababu zipo maandiko unayoyasoma ndio hayohayo nami ninayasoma wengi wanatumia kigezo cha roho mtakatifu kuitumia biblia kwa maslahi yao binafsi, bibliq inaweka wazi mambo mengi kumuhusu Yesu niishie hapa ukileta ukaidi nitaweka maandiko halafu uyakatae maandikoNilivyosoma tu ulivyoandika "Yesu alimuomba Mungu mlimani" na "akalia msalabani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha" nikajua tu wewe bado sana kuhusu maandiko na unasoma Biblia "LITERALLY" Unasoma kama Gazeti hv pasipo kutafsiri,nakushauri soma post zangu zoote kuanzia mwanzo hadi hii page ya mwisho sababu nimewajibu wenzio walioliza maswali kama wewe kwa maandiko na mifano na kwa ufasaha sana kama una moyo wa kuelewa utaelewa ila kama huna huo moyo wa kupinga na kusoma maandiko kama "KATIBA" utabakia hivyo hivyo ulivyo!
nilijua umeweka maandiko kumbe ndio zile zile story kavu kavu plz njoo na maandiko hapa wacha maneno,usipoleta inamaana umeshakubali Yesu ni Mungu!Wewe imani yako inakutuma kusema Yesu ni Mungu mimi nakataa na sababu zipo maandiko unayoyasoma ndio hayohayo nami ninayasoma wengi wanatumia kigezo cha roho mtakatifu kuitumia biblia kwa maslahi yao binafsi, bibliq inaweka wazi mambo mengi kumuhusu Yesu niishie hapa ukileta ukaidi nitaweka maandiko halafu uyakatae maandiko
Soma Luk 22:42, Luk 23:34 Luk 23:46 Yoh 17:3 hayo ni baadhi yanayokataa waziwazi unacholazimisha watu wakiamininilijua umeweka maandiko kumbe ndio zile zile story kavu kavu plz njoo na maandiko hapa wacha maneno,usipoleta inamaana umeshakubali Yesu ni Mungu!
basi kwa hivi vifungu vyako ulivyoweka hapa kama ndio ushahidi wa Yesu sio Mungu hii mada haikuhusu wewe endelea kuamini hivyo hivyo nadhani itakufaa zaidiSoma Luk 22:42, Luk 23:34 Luk 23:46 Yoh 17:3 hayo ni baadhi yanayokataa waziwazi unacholazimisha watu wakiamini
Hahahah ungesema kwa nini sio kupitia ivyo vifungubasi kwa hivi vifungu vyako ulivyoweka hapa kama ndio ushahidi wa Yesu sio Mungu hii mada haikuhusu wewe endelea kuamini hivyo hivyo nadhani itakufaa zaidi
Comment mbili za kwanza ni jibu la hii comment yako.Haki ya nani tumekuwa brain washed kabisa.Na tulivyo wavivu kusoma, sijui wataisoma wangapi hii
Mkuu huko kote atachelewa atafute General history of Africa Abridged Edition cha Unesco chapter 1 page no 15 .Usiwaangalie wa misri wa sasahv kwani ndivyo walivyokuwa miaka zaidi ya 2000 iliyopita? Soma biblia inawazungumziaje wamisri wa kipindi kile jitahidi kuchunguza nilichokiandika na ukitafakari kwa maandiko!