MbondeiAsilia
Member
- Oct 20, 2016
- 65
- 36
Juma chief imani yangu ni juu ya upendo na utu wema ,Tuna imani nyingi sana duniani tunacho paswa ni kuelimishana kwa kuheshimiana bila kudhuriana .Jukumu la maamuzi bado linabaki kwa muelimishwaji njia ipi kwake anaona itakuwa muafaka kuifuata .Tarmud ndio tulichokuwa tunakiongelea na ndio maana nilirudi huko[emoji1] [emoji1] .nicheke kdg..!!..hapo ni sawa na kusema huwezi kuwahukumu shoga's wala kuwakemea.. kwani wewe nani..??..wakati tendo hilo limelaaniwa kabisa kwa ushahidi wa maandiko ya vitabu vya dini....
umerudi kwenye mstari kuhusu mtoa mada na hoja yake kuhusu tarmud...
Hebu tupia vielelezoMkuu mainstreem media kubwa zote za wazayuni, they blindfold us. Ugaidi wa izrael ni mbaya sana na wala hautangazwi.
90% ya makundi ya kigaidi regardless ya majina kujinasibisha na dini nyengine yapo ktk payroll ya wayahudi. Juzi tu imebainika waliofanya arab upraising mpaka tukaona mapinduzi ktk nchi za kiarabu ni wayahudi.
Pia imeshajulikana Abouvakar Albaghdad kiongozi wa ISIS ni myahudi. Kuna shida sana mkuu
Hilo halina ubishi somen maandiko lile ni taifa teule la Mungu Muizrael yoyote hatoukosa ufalme wa Mungu japo wapo watakao uona kwa Upanga kwan mpaka leo hii si waizrael wote wanaoamin ujio wa Yesu Kristu kwan baadh yao wanaamin Yesu alozaliwa pale si yeye halis wanaemsubili wao wanaamin hajaja ivo hao ndowatauona ufalme wa Mungu kwa Upanga maana sku ya mwisho ndowatakuja kuamin uku wakiwa tayar wameumia.Hata leo hii ukimpa mimba binti wa kiisrael mimba itashka lakin mtoto atakaezaliwa bado atakua muizrael maana chromosome zake zikipimwa lazma zikutwe tofaut na za kwako badala yake zitakua sawa na za Mama yake awa watu Mungu aliwaumba tofaut KABISA na ndomaana likaitwa Taifa teule.
Hilo halina ubishi somen maandiko lile ni taifa teule la Mungu Muizrael yoyote hatoukosa ufalme wa Mungu japo wapo watakao uona kwa Upanga kwan mpaka leo hii si waizrael wote wanaoamin ujio wa Yesu Kristu kwan baadh yao wanaamin Yesu alozaliwa pale si yeye halis wanaemsubili wao wanaamin hajaja ivo hao ndowatauona ufalme wa Mungu kwa Upanga maana sku ya mwisho ndowatakuja kuamin uku wakiwa tayar wameumia.Hata leo hii ukimpa mimba binti wa kiisrael mimba itashka lakin mtoto atakaezaliwa bado atakua muizrael maana chromosome zake zikipimwa lazma zikutwe tofaut na za kwako badala yake zitakua sawa na za Mama yake awa watu Mungu aliwaumba tofaut KABISA na ndomaana likaitwa Taifa teule.
Umesoma bible wapi maana unasoma bible literal mno. Full of corrupt translations !!!Usiwaangalie wa misri wa sasahv kwani ndivyo walivyokuwa miaka zaidi ya 2000 iliyopita? Soma biblia inawazungumziaje wamisri wa kipindi kile jitahidi kuchunguza nilichokiandika na ukitafakari kwa maandiko!
Umeandima Uzi mrefu sana!!
Lakini haupo kisomi kabisa story zako nyingi source zake ni mapropandist wanaoichafua Israel
Yes wayahudi wanamapungufu yao but sio kwa uongo huu wa kupakaziwa kasome tena kuhusu wayahudi hawa watu hata wakae miaka 1000 hawapotezi Id yao kirahisi.
Na pia unafanya wrong translation ya bible verses au source zako ulizotumia kipindi unaandaa Uzi huu wako shallow kwenye biblia au wanafanya makusudi tyu kupotosha ukweli halisi ambao wengi hatuupendi tunajaribu kuupinga kadri tuwezavyo kwa propaganda za anti -Jews mbalimbali
Acha upumbavu siku nyingine usirudie ku-quote uzi mrefu namna hii kwa maneno yako ya shukrani.Amen RA. ..
Hakika nashukuru sana Kwa somo. ..ubarikiwe sana
Mpumbavu na marehemu mtarajiwa ni wewe mkadahari kwani wewe ni sumu ya kizazi kijacho kwa lidomo lako linaloharisha mitusi RIP MKANDAHARIAcha upumbavu siku nyingine usirudie ku-quote uzi mrefu namna hii kwa maneno yako ya shukrani.
Unaweza kutoa shukrani bila ku-quote na ukaeleweka, kwani kufanya hivyo inatuwia tabu sisi watumiaji wa simu
Waliowahi kunitabiria kifo kutokana na upumbavu wao, wote wameshatangulia mbele za hakiView attachment 492257
Mpumbavu na marehemu mtarajiwa ni wewe mkadahari kwani wewe ni sumu ya kizazi kijacho kwa lidomo lako linaloharisha mitusi RIP MKANDAHARI
Fact Wamisri wa kale ni weusi, kubali au kataa huo ndio ukweli.Mengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
Wamisri wa kale ni weusi, definetely Yesu pia alikuwa black.Tel aviv ni gay haven? fafanua hapo maana sijaelewa.
Inakuaje unaeleza Wamisri ni weusi?
Na Yesu naye alikuwa na rangi/race ipi?