J JEMEDARI .H. JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 341 Reaction score 63 Jan 17, 2014 #1 Wakuu naomba mnisaidie kwa wale waliowah kutumia hii simu ikoje inafanana kweli na original kwa muonekana umbo na ukiwasha ndan? Je ubora wa kamera na vp ram ile ya 1GB inafanya kaz vizur na je air gasture iko fresh? Naomba mnipanue uelewa.
Wakuu naomba mnisaidie kwa wale waliowah kutumia hii simu ikoje inafanana kweli na original kwa muonekana umbo na ukiwasha ndan? Je ubora wa kamera na vp ram ile ya 1GB inafanya kaz vizur na je air gasture iko fresh? Naomba mnipanue uelewa.