10% ya watu duniani kote hutumia mkono wa kushoto kuandika.
75% ya wanawake huuliza maswali ambayo tayari majibu yao wanayo hivyo Ni Bora uwaeleze ukweli maana tayari wanajua.
80% ya watu hujifanya wanaandika meseji pale wanapokua mazingira yasiyo rafiki.
90% ya watu hujifanya wanacheka pale wanapokua hawajaelewa kinachosemwa
91% ya watu hawajisikii vizuri pale sauti ya TV inapokuwa katika namba tasa mfano 31,33,37,43,29 etc
95% ya watu wamewahi kudondokewa na simu zao usoni pale wanapozitumia wakiwa wamelala.
90% ya mawazo ya mwanadamu kabla hajalala Ni juu ya vitu ambavyo anatamani vitokee,mambo anayopenda yamtokee katika maisha.
85% ya wanawake huvaa brazia ambazo sio size yao.
80% ya mionzi itolewayo na simu huvutwa (hu abrsoviwa) na kichwa.
40% ya species Za samaki huishi katika maji fresh Cha ajabu maji freshi duniani kote yako chini ya 1%.
10% ya chakula chote duniani huliwa na wadudu.
90% ya ndoto unazoota huwa unazisahau
73% ya wanaume wazee KUANZIA miaka 70 Wana uwezo wa kuzalisha fresh tu bila matatizo.
42% ya watu hukojoa bafuni wanapokuwa wanaoga.
90% ya mawindo ya chui hufanywa na chui jike.
9% ya watu huruka breakfast
22% huruka chakula la mchana (hawali)
1% tu ya maji inapopotea MWILINI ndipo haswa unapoanza kusikia kiu.58% ya wanawake ndio hupaka rangi kucha.
80% ya matetemeko ya ardhi duniani hutokea maeneo ambayo yamepakana na bahari ya pacifiki
BADO NAENDELEA KUKUTIRIRISHIA NYINGINE.
SOURCE:TAFITI AMBAZO ZIMEFANYIKA ZIKAWEKWA MITANDAONI NA VYOMBO VINAVYOHESHIMIKA