Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,305
- 95,649
- Thread starter
-
- #101
Hahahahaha...hapana ..sihitaji kusitiriwaDada mstiri mkubwa mwenzio, ujue huyo mtu mzima mwenzio anakuelewaga ni vile anaogopa kufunguka……😂😂😂😂😂
Tresor Mandala eti nadanganya??
Umedanganya pakubwa tuDada mstiri mkubwa mwenzio, ujue huyo mtu mzima mwenzio anakuelewaga ni vile anaogopa kufunguka……😂😂😂😂😂
Tresor Mandala eti nadanganya??
Huyo hata ukichukua wallet ukitoa hela yy ataishia kucheka hahahaaaaa!! Basi dada ake anajikombea mifwedha tu 😂😂😂😂Utulivu huna mambo mengi zaidi ya kucheka tu😁😁😁
Hahahahaha..duhHuyo hata ukichukua wallet ukitoa hela yy ataishia kucheka hahahaaaaa!! Basi dada ake anajikombea mifwedha tu 😂😂😂😂
Tatizo lako muoga 🤣🤣🤣🤣Hahahahaha...hapana ..sihitaji kusitiriwa
Hahahahaha..hakuna anayenifaa hata mmoja...tufurahi tu ,tutoe stress..Siku ziendeTatizo lako muoga 🤣🤣🤣🤣
Ww humu sis Joa ndio anakufaa
😂😂😂😂 Sema kweli??Umedanganya pakubwa tu
Hahahahaha...kweli kabisa Rafiki..potelea mbali acha nife na tai shingoni km mjerumani😂😂😂😂 Sema kweli??
We kufa na tai shingoni
😂😂😂 Ipo siku ntakukamata, VAR yangu itakushika tuHahahahaha..hakuna anayenifaa hata mmoja...tufurahi tu ,tutoe stress..Siku ziende
Hahahahaha....jitahidi😂😂😂 Ipo siku ntakukamata, VAR yangu itakushika tu
Mimi sio mchumbaLeo hutaki kuitwa mchumba🤣
Na dedicate wimbo huu kwa ajili yako
HahahahahaMimi sio mchumba
Yaani aninifurahishaga sana sijawahi Ina ana bishana na Mtu zaidi ya kucheka......huyo dadaake ndio nani kwanza nimjue😁😁😁😁Huyo hata ukichukua wallet ukitoa hela yy ataishia kucheka hahahaaaaa!! Basi dada ake anajikombea mifwedha tu 😂😂😂😂
Ni kweli kabisa.Humu siku hz za mburula wengi
Eeeeh Bora umwambie wewe maana nishamuomba niende PM tukayajenge kagoma aiseee🙇Tatizo lako muoga 🤣🤣🤣🤣
Ww humu sis Joa ndio anakufaa
Hahahaha..yaani nibishane humu ? Rafiki humu tuko ku enjoy....humu nyote nyie ni dada zangu 🤣🤣🤣Yaani aninifurahishaga sana sijawahi Ina ana bishana na Mtu zaidi ya kucheka......huyo dadaake ndio nani kwanza nimjue😁😁😁😁
Jamani dada ake si wewe 😂😂😂Yaani aninifurahishaga sana sijawahi Ina ana bishana na Mtu zaidi ya kucheka......huyo dadaake ndio nani kwanza nimjue😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣Haina maana kufa tai wakati itavuliwa tu utavishwa sandaHahahahaha...kweli kabisa Rafiki..potelea mbali acha nife na tai shingoni km mjerumani
Hahahahaha...PM tena.? Tunajenga nini ? Rafiki kwani kuna palipo bomoka ?Eeeeh Bora umwambie wewe maana nishamuomba niende PM tukayajenge kagoma aiseee🙇
Hahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣Haina maana kufa tai wakati itavuliwa tu utavishwa sanda