Uhakiki wa watumishi

lakini mimi naona kama nikusumbuana tu, kama unataka orodha mbona rahisi tu angalia orodha ya wenye vyeti feki, orodha ya vyeti vyenye utata, halafu angalia orodha ya ambao wahawajakamilisha vyeti (incomplete) baada ya hapo majibu utayapata, kama haupo kwenye orodha zote na cheti zote na cheti sio chako basi anza kusali na kutoa sadaka
Kama unaona ni usumbufu acha,wasioona usumbufu wapo.
 
Back
Top Bottom