Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,542
Habari zenu wana jamvi
Mimi nimekuwa nikifuatilia zoezi la uhakiki wa taarifa za mpiga kura maeneo mengi nchini, ninashanganzwa na mtu kwenda na kitambulisho ambacho kilikuwa printed na mashine halafu kwenye data base hakuna taarifa, hivi hii inawezekanaje? Ingekuwa jina halipo kwenye makaratasi tungesema huenda wakati wanayasort kulikuwa na shida lakini chakushangaza hata mtandaoni hayapo
Kwa jinsi hili zoezi linavyoendeshwa la uandikishwaji na kisha kuhakiki ni kama raia wanapewa hisani na sio haki yao kikatiba. Tume wana lengo gani? Mimi siamini kuwa ni mbinu za kuupa upande wowote ushindi lakini swala la kujiuliza ni kwamba hivi kweli sisi watanzania hatuwezi kufanya kwa ukamili jambo dogo kama hili?