Uhakiki wa simu kwa website na sms: matokeo

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,209
Samsung Korea - Samsung SM-J100H/DS - Kama aina iliyotajwa haioani na simu yako, ibadilishe kabla ya Juni 16 2016 kwani ITAFUNGIWA
20160616_083620.jpg



Simu ni ile ile matokeo ya website ya TCRA na ya SMS tofauti. Naomba ushauri.
 
Back
Top Bottom