handsometz
Member
- Jun 14, 2019
- 49
- 24
Mwisho wa kuhakiki ni lini?mkuu tushaanza wenzio washaanza kuhakiki upya
Ingia kwenye account yako then mkono wako wa kulia juu utaona vimstari vitatu vifungue then angalia sehemu iliyo andikwa sentItem mkono wa koshoto baada ya kuvibonyeza hivyo vimstari kama ukikuta taarifa zako ulizotuma then fresh la kama hazipo you need to send again
pia namimi ningependa kujua hili maana kunataarifa znazagaa za kurudia kuhakiki, na pia acc zetu 2lizofungua kwanzia mwez huo wa tano kuzi acces ni ngumuSamahani, je kwa ambao tulihakiki mapema mwezi wa tano na majibu tukapata tunatakiwa kuhakiki upya?
Km ulikihifadh haina haj bt km ndo kipo kwenye accnt unatakiwa ufanye upyapia namimi ningependa kujua hili maana kunataarifa znazagaa za kurudia kuhakiki, na pia acc zetu 2lizofungua kwanzia mwez huo wa tano kuzi acces ni ngumu
Amina sanaOkay brother. Hii Ndio elimu tuitakayo nimeona mkuu berikiwa 64-bit
https://jamiiforums.com/fnYnF5hsQX
Tupate offer ya free Vocha kwanza wakuu ili tuendelee na mjadala ni simple tu jaza survey hapo Juu.
Vyuo sina uhakika ila heslb niliona tangazo kuwa ni tarehe moja julyIla sijajua VYUO VINAFUNGUA UDAHILI LINI NA BOARD YA MIKOPO PIA MKUU 64-bit
Vyuo sina uhakika ila heslb niliona tangazo kuwa ni tarehe moja july
Samahani huwa nachelewa kureply....inatakiwa usubiri kidogo within two min then ndio ureloadMkuu limefunguliwa ila kuna sindofahamu fulani. Maana ukishalipia wanasema bonyeza reload mpaka sasa ukifanya hivyo no results
Ukiona taarifa zako inamaana ushahakikiwa????Ingia kwenye account yako then mkono wako wa kulia juu utaona vimstari vitatu vifungue then angalia sehemu iliyo andikwa sentItem mkono wa koshoto baada ya kuvibonyeza hivyo vimstari kama ukikuta taarifa zako ulizotuma then fresh la kama hazipo you need to send again