Uhakika Wa Usalama Wa Milele Tunaopewa Na Kristo

Samson Ernest

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
1,118
Reaction score
1,565
Mik 5:4 SUV
[4] Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia.
Kipindi nabii Mika anaandika haya, kilikuwa ni kipindi cha uharibifu na mashambulizi mengi juu ya Israeli.

Unabii uliotolewa hapa ulimlenga Kristo, juu ya ujio wake utabiri wake ulitoka mapema kupitia vinywa vya manabii mbalimbali, mmojawapo ni Mika.

Mik 5:2 SUV
[2] Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
Ujio wa Kristo ulionekana una masuluhisho mengi, mojawapo ni watu kupata usalama.

Ujio wa Kristo ni kuonyesha uimara wake, hatakuwa kiongozi dhaifu, atakuwa ni mchungaji imara atakayelichunga kundi lake vizuri.

Tukiwa ndani ya Yesu tuna uhakika wa kuurithi uzima wa milele, tuna uhakika wa ulinzi, na maisha yetu hayana shaka ndani ya Kristo.

Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia na kutafakari
Mungu akubariki sana
 
Umesha lewa Imani ya Dini hizo ni myth tupu hamns reality.
 
Back
Top Bottom