Salum Sanane
Member
- Apr 14, 2013
- 30
- 4
Mkuu hii bidhaa ndiyo imeharibu vijana wengi pale bavicha kwa sasa waajabu sana wanatembea nazo mfukoni kama pesa.
Mkuu wewe ni mdogo wake na ben saanane?Wakati Katibu wa mkoa wa Tabora akikagua uhai wa chama wilayani Urambo,tarehe 12 mwezi huu alifika kata ya Kapilula.
Kabla ya kuhutubia wananchi alikutana kwanza na viongozi wa kata na matawi.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katibu huyo alishuhudia mwenyewa matawi yalivyokuwa yamekufa.Mfano tawi la Ulasa A katibu wa tawi alionyesha waziwazi siyo tu kutotekeleza,bali pia kutokujua kabisa wajibu wake.
Katibu Tawi huyo alionyesha wazi takwimu ya ziro katika kila kipengele cha wajibu wake kikatiba:
1. vikao vya kamati ya siasa 0
2. vikao vya halmashauri kuu 0
3. mikutano mikuu 0
4. vikao vya mabalozi 0
5. wanachama wapya 0
6. wanachama waliolipa ada 0
CCM hapo itegemee kushika mamlaka ya kijiji na vitongoji mwakani?
Siyo kazi ya katibu wa mkoa kuchukua hatua,yeye ameionyesha wilaya udhaifu huu, na tutegemee wilaya sasa kuwafukuza uongozi wale wote walioonyesha kukiangusha chama.
Natoa wito kwa wilaya ya Urambo kuanza na na tawi hili ambalo tayari limejidhihirisha.Vinginevyo CCM itegemee kuvuna mbigili.
Mkuu wewe ni mdogo wake na ben saanane?
tujuze ili tukae mbali na wewe.
Hivi jina Saanane huwa linamaanisha saa nane ya usiku au ya mchana?
Mkuu hii bidhaa ndiyo imeharibu vijana wengi pale bavicha kwa sasa waajabu sana wanatembea nazo mfukoni kama pesa.
Mkuu wewe ni mdogo wake na ben saanane?
tujuze ili tukae mbali na wewe.
tunakushuru kwa uzi wako wa kiuchunguzi , bali kichwa cha habari kiitwe KIFO CHA CCM .
Wewe Salum Sanane una udugu na Ben Saanane?
Au ni majuha wawili tofauti ambae mmoja ni Sanane (what ever it means) na mwingine ni Saanane? (Two O'clock).
Wewe Salum Sanane una udugu na Ben Saanane?
Au ni majuha wawili tofauti ambae mmoja ni Sanane (what ever it means) na mwingine ni Saanane? (Two O'clock).
ccm ilishakufa zamani.hata huku kijijini kwetu hakuna cha tawi wa shina lililo active,hakuna wanachama wapya,hakuna anayelipia ada,wote wanasubiri uchaguzi ufike kadi zao zilipiwe na wagombea au wanunuliwe kadi mpya na wagombea ili kuwapitisha katika kura za maoni.kiufupi nyakati za chaguzi ndio muda wa kuchuma TUNAKULA CCM TUNALALA CDM.mkakati wetu 2015 wakitugawia kadi za magamba tunachukua,pesa tunakula maana ni kodi zetu walizotuibia na tunatumia kadi hizo kupitisha mgombea dhaifu wa magamba ili tumfumue kirahisi kwenye uchaguzi.