Uhai wa CHADEMA na uteuzi wa Dkt. Mashiji kuwa Katibu mku

JE!.. Unadhani Dkt. Mashinji Katibu mkuu wa CHADEMA Anaweza kuvaa viatu vya Dkt. Slaa ??

  • NDIYO

    Votes: 16 47.1%
  • HAPANA

    Votes: 18 52.9%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    34
  • Poll closed .

pierre buyoya

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
476
163
Heshima kwenu wanajamvi.

Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu uteuzi wa Dkt. Mashiji kuwa Katibu mkuu mpya wa Chadema, Nikaamua nije kuona maoni yenu wakuu . . .
 
lengo la katibu mkuu sio kuvaa viatu vya slaa.katibu mkuu ana kazi zake kadri ya katiba ya chama....
 
Kwenye suala la utendaji huwezi ukawalinganisha watu kwa sababu binadamu hatufanani. Suala la msingi ni yeye kutekeleza majukumu na kufikia malengo.
Kama slaa alikua anatekeleza majukum kikatiba basi majukumu hayo hayo anatakiwa atekeleze huyu jamaa, je ana potential ya kutekeleza kama slaa??
 
Back
Top Bottom