VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
1. Sukari ya kuagizwa toka nje ya nchi marufuku. Vibali maalum vya kuagiza vitatolewa na Serikali kuu.
2. Bei elekezi ya sukari (ya Serikali) ni shilingi 1800 kwa kilo.
3. Serikali imeshaagiza sukari ya kutosha. Sehemu ya kwanza imeshawasili na imesambazwa mikoani kwa uwiano.
4. Sukari yoyote itakayokuwa imefichwa na wafanyabiashara,kwakuwa si sindano,itasakwa na kukamatwa.
5. Sukari itakayokamatwa ikiwa imefichwa itagawiwa bure kwa wananchi.
Bado sukari ni kizungumkuti nchini Tanzania. Tunachechema hivyohivyo tu!
Mzee Tupatupa wa ' Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam