Uhaba wa samaki

Uhaba wa samaki

Nadhani hapo unatakiwa kuweka aina ya samaki maana kuna mikoa ina samaki aina fulani na haina aina fulani. Hivyo jaribu kuweka aina ila mikoa kama Singida Dodoma tabora inauhaba wa samaki fanya utafiti huko pia
 
Dar es salaam, soko la feri pekee linapokea samaki kea wastani wa zaidi ya tani 40 kwa mwezi kutoka china. Hiyo ni zaidi ya tani moja kwa siku..

Tanzania kwa ujumla wake inapokea zaidi ya tani 2000 za samaki kutoka nje, hii ni kutokana na uhaba wa samaki tulionao.,

Ushauri.
Kama una nia ya kufanya biashara ya samaki ni jambo la kuanza tu, bila kujali mkoa., soko ni wewe unalitengeneza, na sio kukufuata.
Shukrani
 
Nina huo mpango kaka ila nilikua nafikiria jinsi ya kupata soko la uhakika
 
Back
Top Bottom