kirang'enta
Member
- Dec 27, 2013
- 35
- 23
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa maji katika campus ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa.
Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa wanafunzi wafanyakazi na wakazi wote wa eneo hili.
Tunaomba wahusika wote kutatua tatizo hili mara moja kabla ya kulipuka madhara mengine yanayoweza sababishwa na upungufu huu mkubwa.