Uhaba wa Balimi Morogoro

Mie nadhani Sasa tuiombe serikali itangaze rasmi Balimi kama kinywaji cha Taifa maana Sasa kinaunganisha Taifa toka kanda ya ziwa mpk kaskazini pwani kusini na katikati mwa nchi....
 
Aiseh! Kwel dunia uwanja wa fujo! Zaman ukiagiza castle light,safar, na serengeti unaonekana masikin! Henken ilikuwa bia ya midle level@ now balimi imekuwa almasi!
Balimi mkomboz wa wanyonge
Tbl kaza uzi
 
Mie nadhani Sasa tuiombe serikali itangaze rasmi Balimi kama kinywaji cha Taifa maana Sasa kinaunganisha Taifa toka kanda ya ziwa mpk kaskazini pwani kusini na katikati mwa nchi....
Hata mlugulu amekuwa balimi, hongera TBL jongera unyanyembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…