Tafadhalil tafadhali Morogoro kuna uhaba wa bia pendwa ya balami,kwa heshima na taadhima tunaomba haraka sana mtusambazie bia yetu pendwa kwani kwa jinsi mkuu alivyobana tutaua kwa njaa familia zetu ikiwa bia pendwa zitaendelea kuadimika.
Aiseh! Kwel dunia uwanja wa fujo! Zaman ukiagiza castle light,safar, na serengeti unaonekana masikin! Henken ilikuwa bia ya midle level@ now balimi imekuwa almasi!
Balimi mkomboz wa wanyonge