Ugunduzi: Choo kisichotumia maji wala kutoa harufu

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,106
8,044
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Uingereza (British university) umeweza kubuni choo cha kisasa kisichotumia maji, wala kuhitaji mfumo wa maji taka (sewage system), achililia mbali matumizi ya nishati yoyote ile.

Choo hicho rafiki kwa mazingira kinatumia teknolojia ya kisasa kabisa (Nanotechnology). Kwa kutumia chemba maalum yenye elementi za nano, kinyesi cha mwanadamu hubadilishwa, na maji huweza kuvunwa kutoka kwenye mvuke iliogandishwa kutoka kwenye kinyesi hicho. Maji hayo salama yaliyokusanywa huweza kutumiwa majumbani katika matumizi mbalimbali. Mbali na hayo, teknolojia hiyo ya nano huweza kuondoa harufu kali itokayo katika kinyesi hicho, na kuweza kuacha choo bila ya harufu mbaya.
Alison Parker, mtafiti mkuu alioyeongoza jopo la wanasanyansi hao wa British university alisema choo hicho kitakuwa mkombozi, hasa kwa nchi zinazoendelea ambapo idadi kubwa ya wakazi wake, hasa wale waishio vijijini hawana vyoo.

==================
Waterless toilet uses nanotechnology to treat waste, banish smells

LONDON (Thomson Reuters Foundation) – A toilet that does not need water, a sewage system or external power but instead uses nanotechnology to treat human waste, produce clean water and keep smells at bay is being developed by a British university.

The innovative toilet uses a rotating mechanism to move waste into a holding chamber containing nano elements. The mechanism also blocks odors and keeps waste out of sight.

“Once the waste is in the holding chamber we use membranes that take water out as vapor, which can then be condensed and available for people to use in their homes,” Alison Parker, lead researcher on the project, told the Thomson Reuters Foundation.

“The pathogens remain in the waste at the bottom of the holding chamber, so the water is basically pure and clean.”

Cranfield University is developing the toilet as part of the global “Reinvent the toilet Challenge” launched by the Bill and Melinda Gates Foundation.

Nanotechnology is the science of creating and working with materials about one nanometer wide, or one-billionth of a meter. A human hair is about 80,000 nanometers wide.

Parker said that despite “significant” interest from developed countries, the toilet is being designed with those in mind who have no access to adequate toilets.

According to the U.N. children’s agency UNICEF and the World Health Organization (WHO) 2.4 billion people, mostly in rural areas, live without adequate toilets.

Poor sanitation is linked to transmission of diseases such as cholera, diarrhea, dysentery, hepatitis A, typhoid and polio, the WHO says.

Cranfield University says its toilet is designed for a household of up to 10 people and will cost just $0.05 per day per user.

A replaceable bag containing solid waste coated with a biodegradable nano-polymer which blocks odor will be collected periodically by a local operator, it says.

Initial field testing of the toilet is likely to take place later this year, Parker said.


READ MORE AT: NewsDaliy.com
 
Last edited by a moderator:
Kama hakuna maji kabisa.. inamaana ktk harakati za uchambaji mawe na majani vitahusika au tishu?
 
Mkuu @Amavumbi, hiyo ni breakthrough itakayosaidia watu kuaacha kujisaidia ovyo na kuchafua mazingira, tabia ambayo ni hatarishi kwa afya zao. Sasa ni IMANI gani hiyo inayosapoti uchafuzi wa mazingira?
 
Mkuu @Amavumbi, hiyo ni breakthrough itakayosaidia watu kuaacha kujisaidia ovyo na kuchafua mazingira, tabia ambayo ni hatarishi kwa afya zao. Sasa ni IMANI gani hiyo inayosapoti uchafuzi wa mazingira?
Imani inayoelekeza watu kujisafisha na maji baada ya kujisaidia, na kwamba ukikosa kabisa maji basi tumia mchanga
 
Imani inayoelekeza watu kujisafisha na maji baada ya kujisaidia, na kwamba ukikosa kabisa maji basi tumia mchanga

Kama ndivyo, basi naamini waumini wa iman hiyo watatumia maji kujisafisha. Bila shaka halitakuwa tatizo kwao.
 
Wamesema vitasaidia Nchi zinazoendelea? Wasisahau Uwezo wa kiuchumi wa Watu wa Nchi zinazoendelea, Vinginevyo tuendelee na Vyoo vyetu vya kulenga tusihadaike.
 
Back
Top Bottom