ugonjwa wa utando mweupe

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
6,033
9,785
habari
nataka kujua huu ugonjwa wa utando mweupe dalili zake unapatikanaje na matibabu yake
source:
mwanamke anatokwa na utando or ute mweupe kwenye uke afu unawasha na baada ya siku kadhaa alipata michubuko kwenye uke...je huu ndo ugonjwa wenyewe au ni kawaida kwa wanawake kuwa hivyo
 
It is liekely to be Vaginal candidiasis.
It is not an STI (Sexually Transmitted Infection), but may be due to immunosuppression.
Causes of Immunosuppression: Use of oral contraceptives, diseases like diabetes, HIV infn (AIDS) et.c
But treatment is : Clotrimazole Vaginal pessarie or Miconazole (Daktarin).
Advice: Consult your nearby Pysician or Gynaecologist for expertise Management [for further evaluation (examination/ tests) and advise]; for what I have given you is a guide.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom