Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba


Kwa hakika nakushukuru sana kwa maelezo yako na mifano uliyoitoa. Katika kuhangaikia hili tatizo kuna daktari pia alishawahi kunishauri kuhusu kuepuka harufu kali kama perfumes nk

Nakushukuru sana.
 
TREATMENT DURING THE ATTACK-
• Hot fomentations to the back of the neck, thorax, and front of the chest are helpful, along
with a hot footbath. Keep the head cool by sponging with cool water or use a fan.
• Pouring cold water on the back of the neck is useful. As the person bends over, the water
is poured on the back of the neck from a container holding about a gallon of water. From
about 24 inches above the neck, pour it for about 30-90 seconds. Do this 3 times a day
during the critical phase.
• A vaporizer, which blows cold, moist air is helpful during an attack. Menthol or
eucalyptus oil may be added to the water.
• After blending a clove of garlic in a cup of water, drink it. This may be vomited back
out, loosening the phlegm. If vomited, give another cup. The garlic really helps.
• Some take a cup of hot water, catnip tea, or mullein tea each hour.
• At the first sign of an asthmatic attack, sit up straight in a chair for the first 10 minutes.
Inhale through your nose and exhale through pursed lips. This helps press open the
bronchial tubes.
• Then lie on your stomach, with your head and chest over the edge of the bed. Cough
gently for 2-3 minutes, to bring up the sputum. (But, during an attack, some cannot
tolerate this position; instead, they lie face down on the bed with 2-3 pillows under their
hips and a towel under their face.)
• A neutral bath (94o-98o F.) is quieting to the nerves and helps relax them.
• Lobelia is an herb that, when sipped slowly, relaxes the nerves and tends to stop the
spasm. (If one drinks more quickly, it has a different effect, and induces vomiting.)
• Mullein oil is a worthwhile remedy for bronchial congestion. The oil stops coughs
because it unclogs bronchial tubes. When taken with water or fruit juice, the effect is even
more rapid.
• Other useful herb teas include juniper berries, echinacea, and, of course, that old
standby, slippery elm bark.

TREATMENT DURING THE REST OF THE TIME-
• Eat a nourishing diet. Include garlic and onions. Eat lightly.
• Avoid processed and junk food, and do not use nicotine, alcohol, or caffeine. Do not use
chocolate, fish, eggs, and other common allergenic foods. Avoid foods containing
additives.
• Avoid bananas and melons, especially if you are also sensitive to ragweed.
• Do not use milk products. You may be allergic to wheat products. Do not eat ice cream
or other cold liquids. Cold can shock the bronchial tubes into a spasm.
• Research has revealed that a fat-free diet can help reduce asthma attacks.
• Be sure and drink enough water. This vital fluid is greatly needed to keep your lungs and
bronchi free of thickened phlegm.
• Strictly adhere to the above diet.
• Learn to play a wind instrument, harmonica, or sing. Practice deep breathing when you
are out-of-doors. Have regular physical exercise. Hiking, swimming, etc. are good. You
need to build up your lung capacity and utilization. This will strengthen your entire
respiratory tract. A person at rest uses only 10% of his lung capacity; hard work increases
it to about 50%.
• Exhale forcefully through a small drinking straw into a large bottle of water. This forces
the bronchial tubes to expand somewhat and become larger.
• Some asthmatics have problems when they breathe too deeply. One way to minimize
exercise-induced asthma is to wear a mask that retains heat and moisture and limits the
effects of cold, dry air.
• Spend a few minutes each day practicing standing tall, expanding your chest, and
breathing deeply. Devise simple exercises (on the floor, against walls, etc.) which help
you do this.
• Move out to the country where the air is purer.
• Practice breathing through your nose rather than your mouth.
• Go on a juice fast, 3 days each month, of distilled water and lemon juice, to help clean
out the body of toxins and mucous.
• Reduce stress. Avoid worry and fear.
• Get a good vacuum cleaner and get rid of the dust and dust mites in your bed, cushions,
rugs, and floor. Avoid goose feathers (pillows and down coats). Dead cockroaches are
also known to produce a dust which can bring on an attack. House plants may contain
mold spores. Keep the bathroom clean of mold, also under the sinks.
• Eliminate things from the house which harbor dust: carpets, venetian blinds, draperies,
etc. Washable cotton curtains are all right. Avoid the use of electric fans; they stir up dust.
• Practice "sleep breathing." This is done by breathing slower and deeper than normal,
with a three second pause at the top of the inspiration and at the end of the expiration.
-Important: Also see "Hay Fever" and "Allergies."
HYDRO-Neutral Bath at bedtime, Hot Abdominal Pack, copious water drinking, Enema before
retiring, graduated Cold Baths, Renal Douche. Cold Colonic daily in cases of toxemia with dilated
colon. Correct any existing stomach disturbance. If skin is inactive, give sweating process, followed by a
cold bath of an appropriate form.
 
Kwa haraka ni kuwa ashtma=allergy(ies).
Allergy au mzio unapimwa kwa kipimo maalum kiotwacho ALLERGY TEST. Kipimo hiki huchukua kama dk 30 kukamilika na kupata majibu. Majibu utakayoyapata ni VITU GANI VINAKUSABABISHIA ALLERGY. Kipimo hiki kilikuwa kinafanywa na MISSION MIKOCHENI HOSPITAL-MARTIN LUTHER HOUSE BRANCH, hii ilikuwa kama 15yrs ago, kwa sasa yawezekana wako wengi zaidi na mmojawapo ni Dr. Ole kwenye hosp yake ya EKENYWA huko Magomeni.

Pamoja na maelezo hayo ni kwamba allergy haipoywi kwa dawa BUT NITARUDI....
 
Kuna dada alikuwa anasumbuliwa sana na asthma ambayo mzazi wake mmoja anayo. Ameombewa na ana zaidi ya mwezi haijamshika na anasema analala usingizi aliokuwa hawezi kuupata awali.

Kaombewe.
 
Nimerudi; Dawa zote za ashtma pamoja na allergy nyingine zinaitwa "anti HISTAMINES", hizi kazi yake ni kuidhibiti histamine inayozalishwa mwilini na kusababisha allergy. Nyingi ya dawa hizi zina madhara makubwa japo wazalishaji wake hawapendi watu wajue.

Suluhu ya kudhibiti ugonjwa huu na allergy nyinginezo ni;
1. Jitenge na epuka mazingira, vyakula na vinywaji husika ( baada ya kuvitambua kupitia kipimo).
2. Tumia/kunywa maji halisi ya kutosha ( unaweza kucheki blog moja inaitwa maajabu ya maji iliyowahi kuwekwa humu na hata original website unaweza ipata kwa google search).

3. MWISHO; Nenda/karibu kwenye maombi kwa jina la Kristo Yesu, nimeona, nimesoma na kusikia wengi wakiponywa kabisa. Hii haina try and error maadam tu uende mahali sahihi na ukutane na mtumishi wa Mungu sahihi. Ziko sehemu nyingi but ushauri ni muhimu. Kwa ushauri wa wapi uende unaweza tuma PM
 

Mkuu eucalyptos, kumbuka umeongelea EXTRINSIC asthma pekee.
 
Mkuu eucalyptos, kumbuka umeongelea EXTRINSIC asthma pekee.

Ndio mkuu, kwa upeo wangu mdogo, kwa muda sasa nimekuwa naisoma asthma kuwa ni allergy NA ILI KUIKWEPA AU KUIDHIBITI MUATHIRIKA ANATAKIWA AJITENGE NA ALLERGENS.

Hivyo pamoja na aina nyingine zote za ashtma chanzo ni kimoja tu "allergy reaction", sasa hii inatokana kama 99% kwa "kurithi" na mazingira mengine machache kwa asilimia chache.
 

Asthma is a chronic reversible inflammatory lungcondition, with acute exacerbations that cause ‘attacks' of wheezing andshortness of breath.
It is anobstructive airway disease with varying severity.
Precipitatingfactors include
1. Respiratorytract infections,
2. allergens(pollen, dust, animals, etc),
3. smoke,
4. changesin the weather and
5. exercise.
Symptoms are caused by constriction of bronchialsmooth muscle (bronchospasm), edema of bronchial mucus membranes and blockageof the smaller bronchi with plugs of mucus.
You must understanding what a triggers, trigging toprovoke your Asthma.
All the medicines are there for Relieve only and notto Treat it.

 
Matibabu ya pumu

1. Mtu mzima

Dozi
-Bilauri (glasi) 3 za maji moto, mgonjwa anywe polepole kutwa mara 3 kwa muda wa siku 20

-Ndimu 8 kutwa mara 3 kwa muda wa siku 20

2. Umri wa miaka 9-12

Dozi
-Ndimu 6 kutwa mara 2 kwa muda wa siku 20.

3. Umri wa Miezi 9- miaka 7

Dozi
-Ndimu 4 kutwa mara 2 kwa muda wa siku 20

4. Umri wa Miezi 4- 9

Dozi
-Ndimu 4 kutwa mara 2 kwa muda wa siku 20
 
eeeenh!!

hizo ndimu zinaliwaje mkuuu na maganda, mbegu, au maji yake?
naomba kueleweshwa tafadhali.
 
Dawa ya pumu ni kuchukua karafuu 6, zibandue vichwa vya juu, weka katika maji nusu glass kwanzia usiku mpaka asubuhi, kabla ya kunywa/kula chochote utakapoamka kunywa maji yake, fanya ivo kwa siku 15.....
 
Aisee fawa ipo,lakini ya kienyeji kutoka Turiani,wadogo zangu wawili wamepona kabisa tangu 1988 walipotumia,na kuna watu huwa nawasaidia hapa mjini na wamepona kabisa na ni watu wazima including mama mwenye nyumba wangu,kama unahitaji weka email hapa au number bahati nzuri ipo mizizi michache nikupe ujaribu.
 
Dawa ya asthma mazoezi tu. Fanya sana mazoezi kutanua kifua..usikate tamaa kitaisha.
It worked for me...saiv naeza kuambia nina six years sijawahi banwa kifua kabisa.
Asali na hivyo vingine viwe supplements tu kwa ajili ya afya ila usivinywe ili upone ukitoka apo kutwa kujifungia ooh sichez mpira koz nna asthma...oh sikimbii koz nna asthma...oh siez piga pushups coz nna...hutakaa upone ata utumie dawa gani!
 
Nina mtoto wa Dada yangu pia anyo je hizi Creams kwa hapa Dar zinapatikana wapi?
 
huwa naambiwa ni allegy tu itaisha yenyewe je ni kweli waungwana?

Pole sana mkuu squareroot, Pumu huwa mara nyingi ni ya kurithi na huweza kupatwa kwa attacks kukapungua jinsi mtoto anavyokua... Kwa sasa nikushauri kuna vitu ambavyo utakuwa umeelekezwa mtoto kuwa mbali navyo kwani huweza kusababisha kupata attack, hivyo ni muhimu kuzingatia na pia kuwa na dawa ya kuvuta, inhaler, muda wote nyumbani hakikisha muda wake wa kutumika haujaisha, expired date, ili iweze kumsaidia mtoto pale anapobanwa na kifua....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…