Ugonjwa wa miguu kuuma

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,426
1,431
Wakuu.

Kuna kijana anaumwa miguu yaani visigino vinauma sana yaani zinawaka moto hadi kutembea anatumia vidole.
Je chanzo ni nini na tiba yake ni ipi?

Asante
 
Hiyo tatizo itakuwa ni peripheral neuropath hutokea pale nervous system inapokuwa affected na huwa huwatokea sana wazee na ambao immunity ipo compromised ila mshauri aende hospitalini apate msaada
 
Wakuu
Kuna kijana anaumwa miguu yaani visigino vinauma sana yaani zinawaka moto hadi kutembea anatumia vidole.
Je chanzo ni nini na tiba yake ni ipi?
Asante
kuwaka moto visigino inawezekana kuna tatizo lingine analo sijui Kama choo anapata
 
Back
Top Bottom