Ugonjwa wa Mchango kwa watoto wadogo

Mkambarani

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
287
251
Napenda kujua chanzo cha ugonjwa wa mchango kwa watoto wadogo na mbona inasemekana hakuna dawa ya hospital inayotibu?

Kwanini dawa za kienyeji tu ndizo zinatibu?

Napenda kujua wana JF
 
Napenda kujua chanzo cha ugonjwa wa mchango kwa watoto wadogo na mbona inasemekana hakuna dawa ya hospital inayotibu?

Kwa nini dawa za kienyeji tu ndizo zinatibu?
Napenda kujua wana JF
Dawa ya chango kwa watoto wadogo ninayo ukihitaji dawa toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Kuna dawa inaitwa mwatya, Ni ya kunusa. Unamnususha toto. Pia unampaka utosini.
Kama Ni mkali unampiga Bomba. Yaani unakoroga kiasi Cha kuweza kupata CC tatu ama nne alafu unamoitishia makalioni ukishaiweka atajisaidia hapo hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom