James Kasonda
Member
- Apr 2, 2012
- 84
- 49
Dunia hii imejaa magonjwa ya kila aina. Progeria disease ni ugonjwa unaomfanya mtu anazeeka kwa kasi ya ajabu.
Ukiangalia hiyo picha hapo chini, huyo binti aliyebebwa ana umri wa miaka 11 tu. Aliyembeba ni baba yake mzazi ambaye ana umri wa miaka 44.
Walokole mpo? Mnaweza kumwombea huyo binti akapona?
Source Dailymail