Kikwete pia unao huo ugonjwa wa kukenua kenua.
kwa upande wawavulana jibu unalo ila kwa wasichana dawa yake huwa wanapigiwa disco na watoto waboys ugonjwa unaisha..
Kikwete pia unao huo ugonjwa wa kukenua kenua.
Mimi napenda kucheka aisee.... lol Lakini haihusiani na boarding... it is just the way I am.
Kikwete pia unao huo ugonjwa wa kukenua kenua.
Mie nimesoma boarding tena ya masista hatukuwahi patwa na huo ugonjwa na hatukua na mambo ya disko,labda tuwasubiri walioupata!ila binafsi napenda kucheka na ni marufuku kununa!
Hapa nimejisikia kucheka ila nimejikaza. Dawa mafuta ya taa yanawekwa kwa msosi.
Kikwete pia unao huo ugonjwa wa kukenua kenua.
Tobaaaaa!
kumbe disco ni dawa eeeeh???