Ugonjwa wa kuanguka hovyo wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa kuanguka hovyo wanafunzi

Discussion in 'JF Doctor' started by ngoshwe, Oct 26, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Matukio ya wanafunzi kupatwa na magonjwa yasiyofahamika ikiwemo kuchekacheka, kushindwa kutembea vizuri na kuanguka hovyo yanaonekana kushamili hapa nchini. Leo vyombo vya habari vimeripoti kizuka kwa ugonjwa wa wanafunzi kukimbia na kuanguka hovyo huko Wilayani Sikonge ulioanza tarehe 18/10/2011na kusababisgha leo Kaimu Mkuu wa Wilaya hiyo kuifunga shule husika ili kuwezesha maombi mazito ya dini zote kufanyika shulen hapo.

  Kwa kuwa ugonjwa wa aina hii umekuwa ukizikumba shule nyingi hapa nchini, ni vyema sasa kwa Wizara ya Elimu na ile ya Afya na Ustawi wa Jamii inafanya uchunguzi wa kina kujua vyanzo halisi vya magonjwa kama haya. Ikiwa Serikali itakaa kimya na kuacha wananchi wakiendelea kuamini kuwa ni matukio ya kishirikia, inaweza kuleta madhara makubwa kwa watoto wetu siku za usoni kwani inatokeaje mtu anaweza kuwaloga wanafunzi zaidi ya mia moja kwa wakati mmoja?? Je, ikiwa ilo linawezekana, usalama wa watoto wetu upo wapi huko mashuleni hasa zile shule za bweni (watoto si watakuwa wakichezewa sana usiku na mchana)??
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hao hao walimu ndo wanahusika
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Wanaoanguka ni watoto wa kike tu. Why???
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  wanahusika vipi ndg.
   
 5. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wanahusikaje? kule Mbozi hata waalimu walikuwa wanawewezeka na wengine walifikia mpaka kuhama shule kutokana na mambo ya ajabu waliyowafika.
   
 6. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Muda mwingine husababishwa na nguvu za giza/mapepo
   
 7. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  Kweli watanzania bado sana, unafunga shule halafu unaitisha maombi, akili yetu iko wapi jamani, huo ni ugonjwa unaitwa hysteria , na unawakumbuka sana watoto wa kike kutokana na stress za shule na famila zao, kwanini watu hawapendi kusoma vitabu na majarida, tubadilke jamani, nyie mnawaza uchawi wenzenu wanakwenda mwezini
   
Loading...