Ugonjwa wa kifua.

Sharahange

Member
Nov 24, 2013
26
3
Habar wana jf!
Mwanangu anasumbuliwa na kifua/kukohoa kwa miaka miwili sasa na katumia dawa za aina nyingi hadi zimemuharibu meno lakini hajapona na hali yazidi kuwa tete!
msaada wana jf plz!
 
Habar wana jf!Mwanangu anasumbuliwa na kifua/kukohoa kwa miaka miwili sasa na katumia dawa za aina nyingi hadi zimemuharibu meno lakini hajapona na hali yazidi kuwa tete!msaada wana jf plz!
Pole sana kwa kuumwa na kifua mwanao hujatuambia mwanao ana miaka mingapi? mtoto wako ni wa kike au kiume? Dawa ya kifuwa kwa watoto fanya hivi:

Chukuwa kitungu Maji kimoja menya kata vipande 4, weka katika Asali fresh ya nyuki funika Vizuri uweke pembeni kesho yake itatowa maji , kama Syrup basi mpe kijiko kimoja mara tatu au mara 4 kwa siku inshaallah itamsaidiya Atapona akipona uje hapa utupe feedback.
 
Mzizi Mkavu naomba ufafanuzi kidogo hivyo vipande 4 vya kitunguu ninaviweka kwenye asali kiasi gani? na dozi yake anatumia kwa siku ngapi?
natanguliza shukrani!

Ni kweli, kujua kuwa kitu fulani ni dawa ni jambo moja na kutengeneza dawa ni jambo lingine. Bila ujuzi, dawa hugeuka kuwa sumu.
 
Mzizi Mkavu naomba ufafanuzi kidogo hivyo vipande 4 vya kitunguu ninaviweka kwenye asali kiasi gani? na dozi yake anatumia kwa siku ngapi?
natanguliza shukrani!

Chukuwa kitungu Maji kimoja ukimenye ukate vipande 4, uweke katika kikombe kimoja

cha Asali fresh ya nyuki funika Vizuri uweke pembeni kesho yake itatowa maji , kama

Syrup basi mpe kijiko kimoja mara tatu au mara 4 kwa siku atumie hiyo Dawa kwa Muda wa siku 3 au siku 5 au siku 7 inshaallah itamsaidiya

Atapona akipona uje hapa utupe feedback
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom