Mivyumba na wengine msiowafahamu Funza. Funza si ugonjwa wa ngozi kwamba unatumia dawa.Hayo mabakamabaka unayoyaona kuna wadudu wanaishi humo.Ni wadudu wadogo sana wanapendelea ngozi ya miguu.Wanatoboa wanaingia wakishaingia wanakua humo ndani ya ngozi hadi ukubwa wa inzi.Kama unafahamu kiini cha jipu basi ndivyo wanavyofanana.Tiba yake ni nini,endapo mtu atawapata?
Daaah nimecheka Hatariiii mkuu unamajibu mepes kinoma
BukobaKigoma
Swissme
Funza hiletwa na virobotoMivyumba na wengine msiowafahamu Funza. Funza si ugonjwa wa ngozi kwamba unatumia dawa.Hayo mabakamabaka unayoyaona kuna wadudu wanaishi humo.Ni wadudu wadogo sana wanapendelea ngozi ya miguu.Wanatoboa wanaingia wakishaingia wanakua humo ndani ya ngozi hadi ukubwa wa inzi.Kama unafahamu kiini cha jipu basi ndivyo wanavyofanana.
Chanzo:Uchafu hususani kukojoa ndani ya nyumba kule vijijini wakati wa usiku,watu hawatoki nje kukojoa usiku na wala kutumia beseni,sufuria nk.na mbaya sana nyumba ambazo hazina sakafu ya simenti.Mkojo kwenye udongo na uchafu mwingine ndivyo chanzo kikuu cha mazalia yao.
Huyu amevurugwa buanaMkuu suala Binafsi la usafi wa mtu na mazingira yake CCM wanatokea Wapii!???
Naona umefufua uzi... ina maana ulikuwa na miguu kama hiyo kwenye picha?Bibi alikuaga ananipaka mawese mguuni kisha nasogeza mguu kwenye moto wa mkaa.
Dakika tano hazipiti funza huyo anatoka mwenyewe!
Sema inataka uvumilivu maana ni kama upakwe mafuta halafu ubanikwe jikoni
Bibi alikuaga ananipaka mawese mguuni kisha nasogeza mguu kwenye moto wa mkaa.
Dakika tano hazipiti funza huyo anatoka mwenyewe!
Sema inataka uvumilivu maana ni kama upakwe mafuta halafu ubanikwe jikoni
Duuh pole sana Mkuu...vp bado hujapona?Kama haujawahi kuona ugonjwa wa Funza pita hapa ushuhudie.
Hivi kwenu wapo?
Kwani hujui uhusiano wa CCM na funza?
Funza akitoka anakwenda wapi?
Wacha uongo we rozana to Nyamwaga funza wako wapi mrishaDah tarime rozana hadi nyamwaga
dah wewe jamaa upo hai?Kwani hujui uhusiano wa CCM na funza?