Ugonjwa wa Funza

CCM kwa laana za hawa watu wanaoteseka hivi mtakuwa na mengi ya kujibu siku ya Kiyama.
 
Kule kwetu Mikindani tunawaita matekenya! Yaani ikifika saa tatu usiku ndo kazi inaanza ya kukutekenya usiku kucha kudadadeki
 
funza nph umasikini tu,hata bashite wakati anakuja town alikuwa na funza kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…