Daah uwo ugonjwa ni kisanga sana.
Ni heri ukafika hospital tu ndugu yangu.
Ingawaje watakufungia kwenye chumba cha peke yako na hutaruhusiwa kukaa na mtu asiekuwa na huo ugonjwa.
Lakini Ukiwa hospital utatibiwa kw uangalifu zaidi.
Jibu: hapana hua tunatibu kulingana na symptoms ulizokuja nazo na ulizokuwa nazo mbaka utakapo kaa sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.