Wenzangu, ni miezi kadhaa tangu gonjwa hili la kishetan liingie nchi yetu pendwa ya Tanzania. Hatujawahi kuwa na lockdown wala curfew. Lakin Mungu sio Makombo, tumeendelea kuishi kwa kudra zake
Je, Tanzania mpaka hapa tulipofikia sisi kama Tanzania bado hatujadevelop "HERD IMMUNITY?" Wajuzi naomba watuchangie kidogo.