Ugonjwa huu kwa Bata unaitwaje

Ugonjwa huu kwa Bata unaitwaje

msugu pwigite

Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
54
Reaction score
36
Wakuu naombeni mnisaidie huu ni ugonjwa gani maana unasumbua sana hasa vifaranga, nipeni mawazo ya sawa gani itawatibu?
 
5907746520ffbd32a5019efe8f371753.jpg
IMG_20171031_170633.jpeg
 
Banda lenyewe Rafiki angu sio safi na niupi ule wa macho au shingo? Maana wachunguze ktk macho kuna kitu cheupe ukimpanua jicho xo niweke wazi kwa msaada Zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom